Ukiolewa usikubali kupewa masharti, kumpikia, kumfulia na kusafisha nyumba. Wewe siyo house girl

Ndio maana wanasema ndoa ni uvumilivu wanadanganyana sana, siku hizi ndoa ni paradiso hakuna mateso tena, ukiolewa sio mfanya kazi ni pambo la nyumba kazi mnasaidiana.
Mambo ya kwenda job wote mnarudi usiku afu mwenzio anakaa seblen anasubir upike umtengee akila utoe na vyombo uoshe na uandae nguo za kesho..ukiwa kazini ujue ukirud utapika nn. Hizi sio kazi za mama ni za wote.
Misemo ya kipuuz nilishakataaga eti ooh ndoa uvumilivu ooh mwanamke haungui mara ooh kazi za nyumban haziishi shenz!!
Wenye akili tuko wachache sana , wewe ni mmojawapo. Ishi sana mkuu
 
Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.

Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.

Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.

Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.

Acheni utumwa.

Ni ushauri tu kama hutaki acha.
umeolewa?
 
Mume na mke wanatakiwa kutunzana. Kila mmoja ana sehemu yake katika kutekeleza hili, dunia imekua ya hovyo na ndoa hazieleweki kwa sababu watu wamekiuka mapenzi ya Mungu kwenye kutimiza wajibu wetu.

Mwanaume anatakiwa kumtunza mke wake na familia kwa kuwapenda na kutoa pesa ya matumizi ya nyumbani na mengineyo. Siku zote shida inaanza pale mwanamke naye anapotoa pesa za matumizi nyumbani.

Mwanamke anatakiwa kumtunza mme wake kwa kumuheshimu na kuhakikisha yeye na familia wanapata chakula kwa muda sahihi pamoja na usafi wa wote yeye, mume wake, watoto na nyumba.

Mwanaume ni kichwa cha nyumba, mwanamke ni msaidizi wa kichwa cha nyumba. Hakuna usawa kwenye kichwa na msaidizi wake.

Mahusiano mengi siku hizi ni magumu kwa sababu ya muingiliano wa majukumu i.e mwanaume kufanya majukumu ya mwanamke na mwanamke kufanya majukumu ya mwanaume. Na hao walioleta usawa wa jinsia.

Setup ya mwanaume ni tofauti na ya mwanamke. Hakuna mwanaharakati wala mtu yeyote atakayefanikiwa kubadilisha hili.
 
Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.

Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.

Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.

Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.

Acheni utumwa.

Ni ushauri tu kama hutaki acha.
kwa Africa mmm?
 
Umewahi kuishi nchi ipi ya ulaya? hili ndio swali la msingi kabla la secondary.
 
Ndio maana wanasema ndoa ni uvumilivu wanadanganyana sana, siku hizi ndoa ni paradiso hakuna mateso tena, ukiolewa sio mfanya kazi ni pambo la nyumba kazi mnasaidiana.
Mambo ya kwenda job wote mnarudi usiku afu mwenzio anakaa seblen anasubir upike umtengee akila utoe na vyombo uoshe na uandae nguo za kesho..ukiwa kazini ujue ukirud utapika nn. Hizi sio kazi za mama ni za wote.
Misemo ya kipuuz nilishakataaga eti ooh ndoa uvumilivu ooh mwanamke haungui mara ooh kazi za nyumban haziishi shenz!!
Kama mwanamke high profile kansela wa Ujerumani anampikia mume wake na haendi ofisini bila kuandaa breakfast ya mume wake na kasri lao lina wafanyakazi lukuki wewe Asha ngedere una nini cha maana?
 
Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.

Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.

Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.

Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.

Acheni utumwa.

Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Aisee kuna hatari hapa[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapokuwa msaidizi maana yake unapangiwa majukumu na aliyekuteua. Sasa kama mamlaka yako ya uteuzi imekupangia jikoni, baki jikoni. Kama mamlaka yako ya uteuzi imekupangia kwenda kutafta, nenda katafte. Hutaki kataa uteuzi baki kwa wazazi wako
Mamlaka ya uteuzi ni hatari, inakupangia jukumu lolote na lazima litekelezwe
 
Kama mwanamke high profile kansela wa Ujerumani anampikia mume wake na haendi ofisini bila kuandaa breakfast ya mume wake na kasri lao lina wafanyakazi lukuki wewe Asha ngedere una nini cha maana?
Uyo Kansela kakubali kwa sababu zake mwenyewe yeye ninani tumuige??
Ukiamka asubuhi wakat mwenzio anapika chai wewe utapungukiwa nn ukisogeza hata vikombe mezani!! Hamjiamin tatizo nn kwani?
Asubuh wakat mwenzio anatandika kitanda we ukiandaa chai utakatika kidole kwan??
Muache upuuz ndo maana mnalialia daily ooh ndoa ngum ooh kataa ndoa mxeeew.
Ndoa ni paradiso ndogo wajameni. Ukiona unateseka kimbia.
 
Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.

Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.

Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.

Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.

Acheni utumwa.

Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Mbona hayo Waislam tunayajuwa miaka 1400 nyuma?

Tukipika au kufanya kazi za nyumbani ni kwa mapemzi yetu tu, siyo kwa kuwa ndiyo kazi za mke.

Kazi zetu kujipamba ,kumstarehesha mume, kulea watoto. Ma shaa Allah.
 
Kibibi kiongo hiki. Eti "kupika ni kwa mapenzi yetu". Yani Mudi mwenye wake wanne aingie jikoni kuwapikia?

Hebu tuonyeshe Aya za Qur'an zinazoonyesha kua mtume alikua anawapikia wake zake.
 
Kwaio hizo mahar ndo iwe deni umtumikishe mtu kias icho!! Mnarudi wote usiku afu we unakaa tuu unasubiri kula kwani uyo mwanamke hachoki?
Kama mahar ndo ishu basi tutatoa sisi afu tuone mtajimudu mfanye kaz na mfanye za nyumbani pia, TUWAOE.
Unaweza kufanya majukumu ya kiume?
Unaweza pigana na wanyama wakali kama nyoka au Simba kama mwanaume?
Unaweza Linda familia yako kwa kutumia silaha kama mwanaume?
Mwanamke atabaki kuwa mwanamke tu, Hata Maandiko yanasema mwanaume ampende mwanamke ila mwanamke amtii mwanamke kama Kanisa linavomtii Kristo, maana kichwa cha mwanamke ni mwanaume kama ambavyo kichwa cha Kanisa ni Kristo.

Mwanamke ni lazima mtii mwanaume kama kiongozi mkuu wakati mwanamke ni msaidizi au mshauri mkuu, sikuzote mwanamke akimzidi mwanaume Kwa Kila kitu, atamdharau na atamsaliti mwanaume kwa kutafuta mwanaume aliye Bora zaidi, hiyo ndo nature na huwezi pinga ndo maana hata kwenye Maandiko wa kutoa mahari ni mwanaume sio mwanamke.

Mwanaume akitaka kukusaidia akusaidie kwa hiari zake na sio kumpanda kichwani.

Yaani unaweza nitolea mahari yako ya mil.5?
Najua haiwezekani.
 
Kibibi kiongo hiki. Eti "kupika ni kwa mapenzi yetu". Yani Mudi mwenye wake wanne aingie jikoni kuwapikia?

Hebu tuonyeshe Aya za Qur'an zinazoonyesha kua mtume alikua anawapikia wake zake.
Akikupa nipo hapa, hata kwnye hadiths haipo.
 
Back
Top Bottom