Ukiolewa usikubali kupewa masharti, kumpikia, kumfulia na kusafisha nyumba. Wewe siyo house girl

Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.

Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.

Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.

Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.

Acheni utumwa.

Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Ushasema Ulaya

Na huku ni Africa tena Tanzania
Jitoe tuu ufahamuu

Utasugua sana bench ,utaendelea kukata mauono kwenye shighuli za wenzeko ukishuhudia wakiolewaa kwa kutokuw na mawazo yako mgandoo

Kamuulize mama yako vizr.ilikuwaje
 
Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.

Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.

Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.

Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.

Acheni utumwa.

Ni ushauri tu kama hutaki acha.

Ushaharibu maisha, sasa una danganya wenzako, ila najua wanajua wewe ni mtu wa hovyo.
 
Nchi hii wananchi wamelala kiakili kwasabb akina mama wanashinda kutwa wanaosha vyombo jikoni badala ya kuwajengea ujasiri watoto wao, ili baadaye wawe raia jasiri.

Ndiyo maana nawakataza akina mama kufanya kazi za ndani

Mama alizikataa kama wewe ndo maana hujui majukumu yako
 
kumbe ulimununua kama mtumwa? Duh!
Sasa mahari maana yake si kununua tu, hakuna shukrani unakuta mtu sio bikra unapigwa mil.6, sasa kwanini asikupikie au kufanya kazi kama mwanamke? Au na yeye ni mwanaume?
 
Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.

Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.

Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.

Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.

Acheni utumwa.

Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Msimbe kazini
 
Wewe mtoa mada hauna jinsia alafu eti unawashauri wanawake wenye jinsia yao. Akina dada ogopeni ushauri mnaopewa na mashoga na wasagaji[emoji3]
 
Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.

Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.

Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.

Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.

Acheni utumwa.

Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Si ndo mpaka aolewe sasa? [emoji38][emoji38] Wanaume tushasema tunapambana na kampeni yetu ya kuacha kuoa.

Kataa Utumwa

Kataa Unyonyaji

Kataa Ujambazi

Tokomeza Ndoa

Pinga Ndoa

Kataa Ndoa
 
Nchi hii wananchi wamelala kiakili kwasabb akina mama wanashinda kutwa wanaosha vyombo jikoni badala ya kuwajengea ujasiri watoto wao, ili baadaye wawe raia jasiri.

Ndiyo maana nawakataza akina mama kufanya kazi za ndani
Ndio maana wanasema ndoa ni uvumilivu wanadanganyana sana, siku hizi ndoa ni paradiso hakuna mateso tena, ukiolewa sio mfanya kazi ni pambo la nyumba kazi mnasaidiana.
Mambo ya kwenda job wote mnarudi usiku afu mwenzio anakaa seblen anasubir upike umtengee akila utoe na vyombo uoshe na uandae nguo za kesho..ukiwa kazini ujue ukirud utapika nn. Hizi sio kazi za mama ni za wote.
Misemo ya kipuuz nilishakataaga eti ooh ndoa uvumilivu ooh mwanamke haungui mara ooh kazi za nyumban haziishi shenz!!
 
Sasa ameolewa Ili iweje?
Yaani unatoa mahari 3.5-5 million hakupikii, hakufulii nguo, kazi yake ni kutoa hilo tunda la katikati, sasa ana tofauti Gani na kahaba anayejiuza?

Labda kama mahari haipo.
Duuh kaaz kwel kwel
Dear future husband nimeghair kuolewa
 
Fuata huu ushauri uone kama hujaingia kwenye rekodi ya walio olewa na kuachwa mara nyingi
 
Ni kweli ila sasa hawa kina okechuku wetu eti akupikie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
J.LO.
Ain't your mama

Unafuata hawa motivation speakers?

Back
Top Bottom