Roca fella
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 2,077
- 4,152
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu hakumaanisha hivyoImeandikwa kwenye biblia, Adam anaambiwa "nitakufanyia (nitakuumbia) msaidizi (siyo mtumwa).
Maana ya neno msaidizi.
TuKI: mtu atoaye msaada kwa aliyelemewa.
Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.
Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.
Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.
Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.
Acheni utumwa.
Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Boss najua mtoa mada kazingua ila tusifike kwa wazazi, hiyo ni dharau kubwa mno tena mno.Tafouti ya nyie na wazungu ni kwamba wazungu wanasaidiana Kila kitu Hadi bill Sasa nyie Hadi familia zenu Yani baba na kaka zenu wanasubili tuwaoe ili nao wotoke kimaisha maana wamechoka kusota uswahilini Sasa kwanini msiwe mabeki tatu na mkizubaa hata baba zenu tutawageuza mashamba boi
Hapana Mimi lazima tuwambie ukweli kwani hujawahi ona masheji na wakwe na namna hiyo sio lazima iwe yeye Mleta mada ni generalize familia nyingi za kiafrikaBoss najua mtoa mada kazingua ila tusifike kwa wazazi, hiyo ni dharau kubwa mno tena mno.
Ikiwezekana na mimba awe anabeba yeye ili akuzalie watoto.Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.
Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.
Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.
Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.
Acheni utumwa.
Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Wakala wa shetani wa kuhalibu ndoa watuAmkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.
Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.
Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.
Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.
Acheni utumwa.
Ni ushauri tu kama hutaki acha.
kumbe ulimununua kama mtumwa? Duh!Sasa ameolewa Ili iweje?
Yaani unatoa mahari 3.5-5 million hakupikii, hakufulii nguo, kazi yake ni kutoa hilo tunda la katikati, sasa ana tofauti Gani na kahaba anayejiuza?
Labda kama mahari haipo.
Tumuambie au tumuacheAmkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.
Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.
Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.
Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.
Acheni utumwa.
Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Sasa labda tu nikuulize mie nikutoka kazini nije nifanye hizo kazi na ww hapo nyumbani kazi yako niniNchi hii wananchi wamelala kiakili kwasabb akina mama wanashinda kutwa wanaosha vyombo jikoni badala ya kuwajengea ujasiri watoto wao, ili baadaye wawe raia jasiri.
Ndiyo maana nawakataza akina mama kufanya kazi za ndani