Ukiolewa usikubali kupewa masharti, kumpikia, kumfulia na kusafisha nyumba. Wewe siyo house girl

Kibibi kiongo hiki. Eti "kupika ni kwa mapenzi yetu". Yani Mudi mwenye wake wanne aingie jikoni kuwapikia?

Hebu tuonyeshe Aya za Qur'an zinazoonyesha kua mtume alikua anawapikia wake zake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kibibi kiongo hiki. Eti "kupika ni kwa mapenzi yetu". Yani Mudi mwenye wake wanne aingie jikoni kuwapikia?

Hebu tuonyeshe Aya za Qur'an zinazoonyesha kua mtume alikua anawapikia wake zake.
Wakipika ni kwa mapenzi yao si kwa lazima na wala siyo kazi yao.

Mwenye wake wanne elewa kuwa anauwezo wa kuajiri wapishi.

Mwanamke Kiislaam ni wa kuenziwa siyo kuwa kijakazi. Ukimuona mwanamke anaburuzwa ndani ya ndoa ya Kiislam elewa kuwa huyo haelewi Uislam wake au ana matatizo kisaikolojoa.
 
Acha porojo, tuletee Aya za Quran kuthibitisha madai yako. Mtume alikua anapikia wake zake?
 
Kama umekosa ndoa usiwadanganye na kuwapotosha wenye ndoa zao.
Nanyi mlioko kwenye ndoa, Mh. JK alishasema "La kuambiwa changanya na lako"

Kwani dada yangu To yeye anasemaje?
Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.

Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.

Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.

Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.

Acheni utumwa.

Ni ushauri tu kama hutaki acha.
 
🤣🤣🤣kweli umepanga kuharibu ndoa za watu. Anyways, raha ya kuitwa mke au mama ni kumhudumia mume au familia mkuu.
Absolutely.
Inaelekea uko kwenye ndoa au umeshawahi kuwamo. Maneno hayo hayawezi kunenwa na mtu asiyemo au asiyewahi.👍🙏
 
Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.

Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.

Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.

Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.

Acheni utumwa.

Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Wanaharakati mliachika na upinde mnatesa ndoa sana
 
Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.

Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.

Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.

Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.

Acheni utumwa.

Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Ukjiona hivi jua hili ni nungaemba ambalo likipata wa kuliwowa litafanya haya linayoongopa kinafiki. Kesho litawaashauri wakatae kutoa ngono kwa vile siyo malaya. Kesho kutwa litawashauri wasilale na waume zao na watafute wanayemtaka
 
Acha porojo, tuletee Aya za Quran kuthibitisha madai yako. Mtume alikua anapikia wake zake?
Usifananishe mafundisho ya Kiislam na mafundisho ya imani nyingine yoyote.

Qur'an siyo kitabu cha maisha ya Mtume fulani, kuna mitume 25 imetajwa kwa majina ndani ya Qur'an.

  • Musa (Moses) katajwa x 136
  • Ibrahim (Abraham) x 69
  • Nuh (Noah) x 43
  • Lut (Lot) x 27
  • Yussuf( Joseph) x 27
  • Isa (Jesus) x 25
Adam 25 times

Harun (Aaron) 20 times

Sulayman (Solomon) 17 times

Ishaq (isaac) 17 times

Dawud (David) 16 times

Yaqub (Jacob) 16 times

Ismael (Ishmael) 12 times

Shuayb 11 times

Salih 9 times

Zakaria 7 times

Hud 7 times

Yahya 5 times

Muhammad 4 times
Yunus (Jonah) 4 times

Ayyub (Job) 4 times

Idris (Enoch) – twice

Alyasa (Elisha) – twice

Elyas (Elijah) – twice

Thul Kifl (Ezekiel) – twice

Hatuwatofautishi baina yao. Wote walikuja kwa sababu ya kufikisha ujumbe.

Mwanamke ana Haki zake na Mwanamme ana haki zake katika Uislam lakini ziko kwa mizani siyo na upendeleo.

Qur'an 9:71. Na Waumini wanaume na Waumini wanawake wao kwa wao ni marafiki walinzi. Huamrisha mema na hukataza maovu, na hushika Sala, na hutoa Zaka, na humt'ii Mwenyezi Mungu na Mtume wake. Hao Mwenyezi Mungu atawarehemu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mtukufu Mwenye nguvu, Mwenye hikima. 71
 
Mbona hayo Waislam tunayajuwa miaka 1400 nyuma?

Tukipika au kufanya kazi za nyumbani ni kwa mapemzi yetu tu, siyo kwa kuwa ndiyo kazi za mke.

Kazi zetu kujipamba ,kumstarehesha mume, kulea watoto. Ma shaa Allah.

Bibi nakazia [emoji419][emoji375] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakipika ni kwa mapenzi yao si kwa lazima na wala siyo kazi yao.

Mwenye wake wanne elewa kuwa anauwezo wa kuajiri wapishi.

Mwanamke Kiislaam ni wa kuenziwa siyo kuwa kijakazi. Ukimuona mwanamke anaburuzwa ndani ya ndoa ya Kiislam elewa kuwa huyo haelewi Uislam wake au ana matatizo kisaikolojoa.

Kweli bibi, Sisi ni kuzagumana tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kweli bibi, Sisi ni kuzagumana tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Qur'an 9:71. Na Waumini wanaume na Waumini wanawake wao kwa wao ni marafiki walinzi. Huamrisha mema na hukataza maovu, na hushika Sala, na hutoa Zaka, na humt'ii Mwenyezi Mungu na Mtume wake. Hao Mwenyezi Mungu atawarehemu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mtukufu Mwenye nguvu, Mwenye hikima. 71
 
Usifananishe mafundisho ya Kiislam na mafundisho ya imani nyingine yoyote.

Qur'an siyo kitabu cha maisha ya Mtume fulani, kuna mitume 25 imetajwa kwa majina ndani ya Qur'an.

  • Musa (Moses) katajwa x 136
  • Ibrahim (Abraham) x 69
  • Nuh (Noah) x 43
  • Lut (Lot) x 27
  • Yussuf( Joseph) x 27
  • Isa (Jesus) x 25
Adam 25 times

Harun (Aaron) 20 times

Sulayman (Solomon) 17 times

Ishaq (isaac) 17 times

Dawud (David) 16 times

Yaqub (Jacob) 16 times

Ismael (Ishmael) 12 times

Shuayb 11 times

Salih 9 times

Zakaria 7 times

Hud 7 times

Yahya 5 times

Muhammad 4 times
Yunus (Jonah) 4 times

Ayyub (Job) 4 times

Idris (Enoch) – twice

Alyasa (Elisha) – twice

Elyas (Elijah) – twice

Thul Kifl (Ezekiel) – twice

Hatuwatofautishi baina yao. Wote walikuja kwa sababu ya kufikisha ujumbe.

Mwanamke ana Haki zake na Mwanamme ana haki zake katika Uislam lakini ziko kwa mizani siyo na upendeleo.

Qur'an 9:71. Na Waumini wanaume na Waumini wanawake wao kwa wao ni marafiki walinzi. Huamrisha mema na hukataza maovu, na hushika Sala, na hutoa Zaka, na humt'ii Mwenyezi Mungu na Mtume wake. Hao Mwenyezi Mungu atawarehemu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mtukufu Mwenye nguvu, Mwenye hikima. 71
Sasa katika haya yote, wapi waliposema mke asifue nguo za mumewe, asipike?
Kikubwa kilichoandikwa hapo ufafanuzi wa haki za kila mmoja.

Pengine una mume au ulishawahi kuwa naye. Kuwa mkweli, Ni kweli humfulii, humpikii. Kwamba yeye ndiye hufanya kazi hizo?
 
Qur'an 9:71. Na Waumini wanaume na Waumini wanawake wao kwa wao ni marafiki walinzi. Huamrisha mema na hukataza maovu, na hushika Sala, na hutoa Zaka, na humt'ii Mwenyezi Mungu na Mtume wake. Hao Mwenyezi Mungu atawarehemu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mtukufu Mwenye nguvu, Mwenye hikima. 71

Mashallha bibi na ikawe heri, tuwe wanawake wema kwa waume zetu na tukatii mafundisho ya mtume wetu [emoji120]

Ila kupika watupikie ilo usiache kuwasisitiza [emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom