[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kibibi kiongo hiki. Eti "kupika ni kwa mapenzi yetu". Yani Mudi mwenye wake wanne aingie jikoni kuwapikia?
Hebu tuonyeshe Aya za Qur'an zinazoonyesha kua mtume alikua anawapikia wake zake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pale ambapo mtoa mada anashambuliwa na pande zote 2 za muungano.
Lazima Leo ukome.
Ukweli huwa ahaupingiki, hata anaeupinga ukweli anafahamu kuwa huu ni ukweli.Bibi amesema, nani anapingaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu wafafanulie vizuri, waache kukaza fuvuu hapaa.Ukweli huwa ahaupingiki, hata anaeupinga ukweli anafahamu kuwa huu ni ukweli.
Wakipika ni kwa mapenzi yao si kwa lazima na wala siyo kazi yao.Kibibi kiongo hiki. Eti "kupika ni kwa mapenzi yetu". Yani Mudi mwenye wake wanne aingie jikoni kuwapikia?
Hebu tuonyeshe Aya za Qur'an zinazoonyesha kua mtume alikua anawapikia wake zake.
Acha porojo, tuletee Aya za Quran kuthibitisha madai yako. Mtume alikua anapikia wake zake?Wakipika ni kwa mapenzi yao si kwa lazima na wala siyo kazi yao.
Mwenye wake wanne elewa kuwa anauwezo wa kuajiri wapishi.
Mwanamke Kiislaam ni wa kuenziwa siyo kuwa kijakazi. Ukimuona mwanamke anaburuzwa ndani ya ndoa ya Kiislam elewa kuwa huyo haelewi Uislam wake au ana matatizo kisaikolojoa.
Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.
Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.
Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.
Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.
Acheni utumwa.
Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Absolutely.🤣🤣🤣kweli umepanga kuharibu ndoa za watu. Anyways, raha ya kuitwa mke au mama ni kumhudumia mume au familia mkuu.
Wanaharakati mliachika na upinde mnatesa ndoa sanaAmkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.
Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.
Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.
Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.
Acheni utumwa.
Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Ukjiona hivi jua hili ni nungaemba ambalo likipata wa kuliwowa litafanya haya linayoongopa kinafiki. Kesho litawaashauri wakatae kutoa ngono kwa vile siyo malaya. Kesho kutwa litawashauri wasilale na waume zao na watafute wanayemtakaAmkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.
Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.
Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.
Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.
Acheni utumwa.
Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Ataongopa tu "NDIYIO" kwa vile ameleta mada.Baba ako aliwahi kumpikia mama ako?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌Matatizo ya Afya ya Akili ni ukweli, yapo katika jamii yetu.
Usifananishe mafundisho ya Kiislam na mafundisho ya imani nyingine yoyote.Acha porojo, tuletee Aya za Quran kuthibitisha madai yako. Mtume alikua anapikia wake zake?
Mbona hayo Waislam tunayajuwa miaka 1400 nyuma?
Tukipika au kufanya kazi za nyumbani ni kwa mapemzi yetu tu, siyo kwa kuwa ndiyo kazi za mke.
Kazi zetu kujipamba ,kumstarehesha mume, kulea watoto. Ma shaa Allah.
Wakipika ni kwa mapenzi yao si kwa lazima na wala siyo kazi yao.
Mwenye wake wanne elewa kuwa anauwezo wa kuajiri wapishi.
Mwanamke Kiislaam ni wa kuenziwa siyo kuwa kijakazi. Ukimuona mwanamke anaburuzwa ndani ya ndoa ya Kiislam elewa kuwa huyo haelewi Uislam wake au ana matatizo kisaikolojoa.
Bibi amesema, nani anapingaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli bibi, Sisi ni kuzagumana tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa katika haya yote, wapi waliposema mke asifue nguo za mumewe, asipike?Usifananishe mafundisho ya Kiislam na mafundisho ya imani nyingine yoyote.
Qur'an siyo kitabu cha maisha ya Mtume fulani, kuna mitume 25 imetajwa kwa majina ndani ya Qur'an.
Adam 25 times
- Musa (Moses) katajwa x 136
- Ibrahim (Abraham) x 69
- Nuh (Noah) x 43
- Lut (Lot) x 27
- Yussuf( Joseph) x 27
- Isa (Jesus) x 25
Harun (Aaron) 20 times
Sulayman (Solomon) 17 times
Ishaq (isaac) 17 times
Dawud (David) 16 times
Yaqub (Jacob) 16 times
Ismael (Ishmael) 12 times
Shuayb 11 times
Salih 9 times
Zakaria 7 times
Hud 7 times
Yahya 5 times
Muhammad 4 times
Yunus (Jonah) 4 times
Ayyub (Job) 4 times
Idris (Enoch) – twice
Alyasa (Elisha) – twice
Elyas (Elijah) – twice
Thul Kifl (Ezekiel) – twice
Hatuwatofautishi baina yao. Wote walikuja kwa sababu ya kufikisha ujumbe.
Mwanamke ana Haki zake na Mwanamme ana haki zake katika Uislam lakini ziko kwa mizani siyo na upendeleo.
Qur'an 9:71. Na Waumini wanaume na Waumini wanawake wao kwa wao ni marafiki walinzi. Huamrisha mema na hukataza maovu, na hushika Sala, na hutoa Zaka, na humt'ii Mwenyezi Mungu na Mtume wake. Hao Mwenyezi Mungu atawarehemu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mtukufu Mwenye nguvu, Mwenye hikima. 71