[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaaaa sanaaaaaBibi kanichekesha, kanikumbusha bibi yangu naye ana maneno km ya Fay
Vibibi vya pwani vivivu wao kuzagamuana tu!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahMashallha bibi na ikawe heri, tuwe wanawake wema kwa waume zetu na tukatii mafundisho ya mtume wetu [emoji120]
Ila kupika watupikie ilo usiache kuwasisitiza [emoji1787][emoji1787]
Kiislam hatuendi hivyo, tazama ni wapi kilipoandikwa ndiyo kinakuwa sheria. Kama hakijaandwa na hakikutoi katika Uislam wako basi kinabaki kuwa ni option kwako.Sasa katika haya yote, wapi waliposema mke asifue nguo za mumewe, asipike?
Kikubwa kilichoandikwa hapo ufafanuzi wa haki za kila mmoja.
Pengine una mume au ulishawahi kuwa naye. Kuwa mkweli, Ni kweli humfulii, humpikii. Kwamba yeye ndiye hufanya kazi hizo?
Duuh tukikufatisha wewe sidhani kama tutaolewa.Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.
Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.
Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.
Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.
Acheni utumwa.
Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Qur'an 9:71. Na Waumini wanaume na Waumini wanawake wao kwa wao ni marafiki walinzi. Huamrisha mema na hukataza maovu, na hushika Sala, na hutoa Zaka, na humt'ii Mwenyezi Mungu na Mtume wake. Hao Mwenyezi Mungu atawarehemu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mtukufu Mwenye nguvu, Mwenye hikima. 71
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaaaa sanaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
Bado hujaonyesha Aya inayosema wanaume ndio wawapikie wake zao na kuwafanyia kazi. Bado hujaonyesha Aya inayosema mwanamke kazi yake ni kumstarehesha mumewe pekee.Usifananishe mafundisho ya Kiislam na mafundisho ya imani nyingine yoyote.
Qur'an siyo kitabu cha maisha ya Mtume fulani, kuna mitume 25 imetajwa kwa majina ndani ya Qur'an.
Adam 25 times
- Musa (Moses) katajwa x 136
- Ibrahim (Abraham) x 69
- Nuh (Noah) x 43
- Lut (Lot) x 27
- Yussuf( Joseph) x 27
- Isa (Jesus) x 25
Harun (Aaron) 20 times
Sulayman (Solomon) 17 times
Ishaq (isaac) 17 times
Dawud (David) 16 times
Yaqub (Jacob) 16 times
Ismael (Ishmael) 12 times
Shuayb 11 times
Salih 9 times
Zakaria 7 times
Hud 7 times
Yahya 5 times
Muhammad 4 times
Yunus (Jonah) 4 times
Ayyub (Job) 4 times
Idris (Enoch) – twice
Alyasa (Elisha) – twice
Elyas (Elijah) – twice
Thul Kifl (Ezekiel) – twice
Hatuwatofautishi baina yao. Wote walikuja kwa sababu ya kufikisha ujumbe.
Mwanamke ana Haki zake na Mwanamme ana haki zake katika Uislam lakini ziko kwa mizani siyo na upendeleo.
Qur'an 9:71. Na Waumini wanaume na Waumini wanawake wao kwa wao ni marafiki walinzi. Huamrisha mema na hukataza maovu, na hushika Sala, na hutoa Zaka, na humt'ii Mwenyezi Mungu na Mtume wake. Hao Mwenyezi Mungu atawarehemu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mtukufu Mwenye nguvu, Mwenye hikima. 71
Hapana mume hapaswi kufanya hizo kazi,,,,ameshafanya vya kutosha, sasAmkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.
Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.
Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.
Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.
Acheni utumwa.
Ni ushauri tu kama hutaki acha.
uzi uko mbali sanadronedrake na uione hii
Yupo sahihiWanaokuponda wote hawajaoa, upo sahihi kabisa mtoa mada, kama mume hawezi kuzifanya hizo kazi basi aweke kijakazi amlipe.
Mume sio msaidizi kwahiyo hatakiwi kushindwa kutoa huduma ya kifedhaYaano msaidizi anasubiri mpaka msaidiwa ashindwe 🤣🤣🤣 Haya sasa na mume akisema na yeye hatoi huduma kwa sababu yeye sio benki wala NGO utasema nini?? Ndoa ni heshima, nidhamu na kujishusha.
Ndio Maana kunatakiwa kuwa na msaidizi wa Mama katka kazi zimhusuzo dhidi ya mumewe, na awe mrembo piaHapana mume hapaswi kufanya hizo kazi,,,,ameshafanya vya kutosha, sas
Bora nyeto. Nikitaka utelezi nadrop riverside.uzi uko mbali sana
ingekua ndiyo kwanza page #1 nigeruka na mtoa mada
watoto wa UD wa Mabibo Campus, ndiyo wako hapa siyonadrop riverside
NimewahiAbsolutely.
Inaelekea uko kwenye ndoa au umeshawahi kuwamo. Maneno hayo hayawezi kunenwa na mtu asiyemo au asiyewahi.👍🙏
Unataka muwe singo wengiwengi au sio?[emoji16][emoji16][emoji16]Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.