Ukiolewa usikubali kupewa masharti, kumpikia, kumfulia na kusafisha nyumba. Wewe siyo house girl

Ukiolewa usikubali kupewa masharti, kumpikia, kumfulia na kusafisha nyumba. Wewe siyo house girl

Bibi kanichekesha, kanikumbusha bibi yangu naye ana maneno km ya Fay

Vibibi vya pwani vivivu wao kuzagamuana tu!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaaaa sanaaaaa
 
Mashallha bibi na ikawe heri, tuwe wanawake wema kwa waume zetu na tukatii mafundisho ya mtume wetu [emoji120]

Ila kupika watupikie ilo usiache kuwasisitiza [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Sasa katika haya yote, wapi waliposema mke asifue nguo za mumewe, asipike?
Kikubwa kilichoandikwa hapo ufafanuzi wa haki za kila mmoja.

Pengine una mume au ulishawahi kuwa naye. Kuwa mkweli, Ni kweli humfulii, humpikii. Kwamba yeye ndiye hufanya kazi hizo?
Kiislam hatuendi hivyo, tazama ni wapi kilipoandikwa ndiyo kinakuwa sheria. Kama hakijaandwa na hakikutoi katika Uislam wako basi kinabaki kuwa ni option kwako.

Kama umenisoma vizuri juu huko? Nimeandika, Mke kumpikia mumewe ni kwa mapenzi yake tu siyo lazima kwake. Ulazima ni kustiriana. Kuamrishana mema na kukatazana maovu.

Umenielewa?
 
khaaaa[emoji15][emoji15],anyway akili zakuambiwa changanya na zako
 
Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.

Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.

Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.

Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.

Acheni utumwa.

Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Duuh tukikufatisha wewe sidhani kama tutaolewa.
 
Qur'an 9:71. Na Waumini wanaume na Waumini wanawake wao kwa wao ni marafiki walinzi. Huamrisha mema na hukataza maovu, na hushika Sala, na hutoa Zaka, na humt'ii Mwenyezi Mungu na Mtume wake. Hao Mwenyezi Mungu atawarehemu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mtukufu Mwenye nguvu, Mwenye hikima. 71
 
Attachments

  • VID-20230331-WA0064.mp4
    10.5 MB
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaaaa sanaaaaa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] weye hutaki kupikiwa?!
Km namuona Kantri anavyounga samaki
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah

Udugu aya za mtume hizo sharti bwana apikie mkewe, sie ni kustarehe tu!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Usifananishe mafundisho ya Kiislam na mafundisho ya imani nyingine yoyote.

Qur'an siyo kitabu cha maisha ya Mtume fulani, kuna mitume 25 imetajwa kwa majina ndani ya Qur'an.

  • Musa (Moses) katajwa x 136
  • Ibrahim (Abraham) x 69
  • Nuh (Noah) x 43
  • Lut (Lot) x 27
  • Yussuf( Joseph) x 27
  • Isa (Jesus) x 25
Adam 25 times

Harun (Aaron) 20 times

Sulayman (Solomon) 17 times

Ishaq (isaac) 17 times

Dawud (David) 16 times

Yaqub (Jacob) 16 times

Ismael (Ishmael) 12 times

Shuayb 11 times

Salih 9 times

Zakaria 7 times

Hud 7 times

Yahya 5 times

Muhammad 4 times
Yunus (Jonah) 4 times

Ayyub (Job) 4 times

Idris (Enoch) – twice

Alyasa (Elisha) – twice

Elyas (Elijah) – twice

Thul Kifl (Ezekiel) – twice

Hatuwatofautishi baina yao. Wote walikuja kwa sababu ya kufikisha ujumbe.

Mwanamke ana Haki zake na Mwanamme ana haki zake katika Uislam lakini ziko kwa mizani siyo na upendeleo.

Qur'an 9:71. Na Waumini wanaume na Waumini wanawake wao kwa wao ni marafiki walinzi. Huamrisha mema na hukataza maovu, na hushika Sala, na hutoa Zaka, na humt'ii Mwenyezi Mungu na Mtume wake. Hao Mwenyezi Mungu atawarehemu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mtukufu Mwenye nguvu, Mwenye hikima. 71
Bado hujaonyesha Aya inayosema wanaume ndio wawapikie wake zao na kuwafanyia kazi. Bado hujaonyesha Aya inayosema mwanamke kazi yake ni kumstarehesha mumewe pekee.

Kati ya hao mitume wote uliowataja hapo, ni yupi alikua anampikia mkewe?
 
flowers njoo huku kumekucha, achana na hiyo ya kuwaganda hao nyumbu
 
Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.

Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.

Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.

Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.

Acheni utumwa.

Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Hapana mume hapaswi kufanya hizo kazi,,,,ameshafanya vya kutosha, sas
 
Yaano msaidizi anasubiri mpaka msaidiwa ashindwe 🤣🤣🤣 Haya sasa na mume akisema na yeye hatoi huduma kwa sababu yeye sio benki wala NGO utasema nini?? Ndoa ni heshima, nidhamu na kujishusha.
Mume sio msaidizi kwahiyo hatakiwi kushindwa kutoa huduma ya kifedha
 
Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.

Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.

Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.

Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.

Acheni utumwa.

Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Unataka muwe singo wengiwengi au sio?[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom