Umenikumbusha Kuna afande aliumbuka kitaa, walikamata gari ktk kumtikisa jamaa akawaachia mpunga na wale hawakuwa na muda wa kuzikagua wala kuikariri namba ya gari... Kumbe zilikuwa famba, jamaa aliumbuka sana. Nikaona hii nchi sasa ni ngumu sana, ujasiri umevuka mipaka mpaka Afande anapewa pesa bandia