Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Mnawadekeza hao watu.
Waambieni hakuna pesa ya bure.
Waambieni hakuna pesa ya bure.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenikumbusha Kuna afande aliumbuka kitaa, walikamata gari ktk kumtikisa jamaa akawaachia mpunga na wale hawakuwa na muda wa kuzikagua wala kuikariri namba ya gari... Kumbe zilikuwa famba, jamaa aliumbuka sana. Nikaona hii nchi sasa ni ngumu sana, ujasiri umevuka mipaka mpaka Afande anapewa pesa bandiaNa wale mabwana hata hawana muda wa kuangalia kama hii pesa ni feki
Ahaa! Kiambatanisho 🤭🤣🤣🤣 nilijua kitambulisho[emoji3][emoji3] sio kitambulisho....KIAMBATANISHO
[emoji389][emoji389]
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app