Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee!!! Kuna njemba zinajua kupenda bwananilishakutana na mwanaume jamani kule sio kuchunga ila ni kutafta msiba yaani alihack kila account,mara afungue account fb kwa jina langu,mara ajifanye mimi aone mwanaume anareact vipi sikuelewa ulikuwa ni wivu ama?kimbembe ajue mtu ananitongoza atafanya juu chini huyo mtu ajue mi ni mke wake,cha ajabu huyo kijana alikuwa na miaka 30,binafsi nilishindwa hayo mahusiano
Ewaaaah, hawa ndo wanawake nao wafahamu, hayo mengine anatamani tu, ukimpatia huu Uhuru dunia mzima itajua we bwege, atakudharau na kuhalilisha!! ILA WANAWAKE!! Hapana isee Mungu kajua kuwaumba na AKILI zenu.Ila kiuhalisia mwanaume wa hivyo ndio wanawake tunapenda. Hata unajifeel uko na mwanaume
Unikute nna kazi na hukuwa unanipa hata mia af uje uniachishe kazi ili nianze kukaa ndani kwako unipe af tatu kwa masharti nna kichaa?? Mwanaume hapo bado ana cheat ana suuza rungu nje kama jibwa na kakuzalisha watoto wanne anakwambia acha kazi af ye anajenga na mbwa wake nje. Aah subutuuu oeni wa form 2 muwapelekesheeeKuhusu mume kumwachisha mke wake kazi inaweza ikawa sawa au sio sawa kutegemea na mienendo ya huyo mke na sababu inayopelekea mume kuamua hivyo.
Kwa mawazo haya ya kijinga U-single mother unakuhusu 100[emoji817]Manipulators katika mahusiano;
Ni watu wanaopenda kutawala maisha ya wenzao, mfano anaweza kudukua simu yako, kukuchagulia marafiki, wengine wanazuiwa kufanya kazi, yaani kifupi anakuwa anajikuta kama ni baba yako na huku mmejuana ukubwani na hapo hata hajakuoa.
Wanapenda kutishia wenzao, mfano anaweza kukwambia ukienda kwenye hiyo shughuli usirudi hapa nyumbani, kulazimisha vitu/kutumia nguvu hata pasipohitaji matumizi ya nguvu.
Watu wa namna hiyo ni hatari sana, kwa kuwa anaweza kukufanya uwe na mashaka na uwezo wako binafsi (self-doubt) na kupelekea kutokujiamini.
Vipi mmeshawahi kukutana nao?
Mkuu tulia weweeKwani mkikaa kwenu ili muishi mnavyotaka kuna ubaya gani.
Unandoka kwenu unamfuata mwanaume halafu htaki akuweke utaratibu.
Sawa mkuu. Nimekaa paleMkuu tulia wewee
Huwa tunasema tunautaka huo uhuru ila in actual sense walaa hatuuhitaji. Kutuelewa ni kazi sana😂😂😂Ewaaaah, hawa ndo wanawake nao wafahamu, hayo mengine anatamani tu, ukimpatia huu Uhuru dunia mzima itajua we bwege, atakudharau na kuhalilisha!! ILA WANAWAKE!! Hapana isee Mungu kajua kuwaumba na AKILI zenu.
Naomba nikupinge kidogo! Sio kila mwanaume anayetaka uache kazi yuko insecure na kazi yako bali anaangalia maslah mapana ya familia. Mwanamke ni mlezi wa familia, hivyo anahitaji uwe serious na malezi ya watoto na familia kwa ujumla.Yaani wanaume wa namna hiyo wanakuwaga hawajiamini na wanaona ukiwa tegemezi ndo ataweza kukucontrol vizuri jmn wanawake wenzangu msije mkathubutu kuacha kazi kwa sababu mwanaume kasema uache
Na nyie wanaume kama unaona kuwa na mwenza msomi mwenye kazi yake inakupunguzia kujiamini kwako, hujalazimishwa kuwa nae, umuoe afu uje kumwambia aache kazi hapana, tafuta wanawake majobless mbona wapo kibao na umwambie umempendea ujobless wake ili umpelekeshe vizuri
Mkioana wastaarabu tupu ndoa hainogiNdio kubalance huko sasa mkichaguana wastaarabu, hao wa hovyo mnamuachia nani 😁
Kama uyaandikayo ndiyo uyaishiyo, hongera.Naomba nikupinge kidogo! Sio kila mwanaume anayetaka uaeche kazi yuko insecure na kazi yako bali anaangalia maslah mapana ya familia. Mwanamke ni mlezi wa familia, hivyo anahitaji uwe serious na malezi ya watoto na familia kwa ujumla.
Hizi kazi zinatulia sana muda wetu hata tunashindwa kuwa walezi vile inavyopaswa, na YES zinatupa viburi pia. Hivyo zinatufanya tusiwe wanawake tunaopaswa kuwa.
Na ukiona mwanaume anakushurutisha uache kazi, basi kuna vielement vya kupwaya kwenye malezi, kiburi, ukosefu wa nidhamu nk ameviona kwako.
Huwa ni jambo la kujadiliana na kujua namna bora mtakavyofanya kabla haujaacha kazi.
NB: Acha kazi ikiwa umeolewa na MWANAUME tu, kama ni furushi USITHUBUTU.
😂😂😂😂 Ndoa inakosa mashamsham na ngendembweMkioana wastaarabu tupu ndoa hainogi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cha ajabu mtu wa hivyo ndio moyo unatia nanga hapo hata aje nani hakubandui.
Moyo ahsante kwa kunifanya mi punda nigee na mijeredi kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilishakutana na mwanaume jamani kule sio kuchunga ila ni kutafta msiba yaani alihack kila account,mara afungue account fb kwa jina langu,mara ajifanye mimi aone mwanaume anareact vipi sikuelewa ulikuwa ni wivu ama?kimbembe ajue mtu ananitongoza atafanya juu chini huyo mtu ajue mi ni mke wake,cha ajabu huyo kijana alikuwa na miaka 30,binafsi nilishindwa hayo mahusiano
Tamthilia zinawadanganya sana, mnadhani huo ndio uhalisia wa maisha. Badilikeni muachane na uslay queenManipulators katika mahusiano;
Ni watu wanaopenda kutawala maisha ya wenzao, mfano anaweza kudukua simu yako, kukuchagulia marafiki, wengine wanazuiwa kufanya kazi, yaani kifupi anakuwa anajikuta kama ni baba yako na huku mmejuana ukubwani na hapo hata hajakuoa.
Wanapenda kutishia wenzao, mfano anaweza kukwambia ukienda kwenye hiyo shughuli usirudi hapa nyumbani, kulazimisha vitu/kutumia nguvu hata pasipohitaji matumizi ya nguvu.
Watu wa namna hiyo ni hatari sana, kwa kuwa anaweza kukufanya uwe na mashaka na uwezo wako binafsi (self-doubt) na kupelekea kutokujiamini.
Vipi mmeshawahi kukutana nao?