Ukiona ana sifa hizi kimbia mapema

"mwanamke ni mfungwa kwa mumewe pindi mumewe anapo kua hai " hapa hakuna namna ...kama hutaki kua mfungwa usikubali kuolewa/ kuzalishwa
 
Aisee!!! Kuna njemba zinajua kupenda bwana
 
Ila kiuhalisia mwanaume wa hivyo ndio wanawake tunapenda. Hata unajifeel uko na mwanaume
Ewaaaah, hawa ndo wanawake nao wafahamu, hayo mengine anatamani tu, ukimpatia huu Uhuru dunia mzima itajua we bwege, atakudharau na kuhalilisha!! ILA WANAWAKE!! Hapana isee Mungu kajua kuwaumba na AKILI zenu.
 
Kuhusu mume kumwachisha mke wake kazi inaweza ikawa sawa au sio sawa kutegemea na mienendo ya huyo mke na sababu inayopelekea mume kuamua hivyo.
Unikute nna kazi na hukuwa unanipa hata mia af uje uniachishe kazi ili nianze kukaa ndani kwako unipe af tatu kwa masharti nna kichaa?? Mwanaume hapo bado ana cheat ana suuza rungu nje kama jibwa na kakuzalisha watoto wanne anakwambia acha kazi af ye anajenga na mbwa wake nje. Aah subutuuu oeni wa form 2 muwapelekesheee
 
Kwa mawazo haya ya kijinga U-single mother unakuhusu 100[emoji817]
 
Ewaaaah, hawa ndo wanawake nao wafahamu, hayo mengine anatamani tu, ukimpatia huu Uhuru dunia mzima itajua we bwege, atakudharau na kuhalilisha!! ILA WANAWAKE!! Hapana isee Mungu kajua kuwaumba na AKILI zenu.
Huwa tunasema tunautaka huo uhuru ila in actual sense walaa hatuuhitaji. Kutuelewa ni kazi sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Naomba nikupinge kidogo! Sio kila mwanaume anayetaka uache kazi yuko insecure na kazi yako bali anaangalia maslah mapana ya familia. Mwanamke ni mlezi wa familia, hivyo anahitaji uwe serious na malezi ya watoto na familia kwa ujumla.

Hizi kazi zinatulia sana muda wetu hata tunashindwa kuwa walezi vile inavyopaswa, na YES zinatupa viburi pia. Hivyo zinatufanya tusiwe wanawake tunaopaswa kuwa.

Na ukiona mwanaume anakushurutisha uache kazi, basi kuna vielement vya kupwaya kwenye malezi, kiburi, ukosefu wa nidhamu nk ameviona kwako.

Huwa ni jambo la kujadiliana na kujua namna bora mtakavyofanya kabla haujaacha kazi.

NB: Acha kazi ikiwa umeolewa na MWANAUME tu, kama ni furushi USITHUBUTU.
 
Kama uyaandikayo ndiyo uyaishiyo, hongera.
 
Cha ajabu mtu wa hivyo ndio moyo unatia nanga hapo hata aje nani hakubandui.

Moyo ahsante kwa kunifanya mi punda nigee na mijeredi kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tamthilia zinawadanganya sana, mnadhani huo ndio uhalisia wa maisha. Badilikeni muachane na uslay queen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…