Ukiona ana sifa hizi kimbia mapema

Alafu mm nikitaka uache kazi sinto jisumbua kuanza kupigizana kelele na ww kukwaambia uache kazi badala yake utadhangaa unapokea barua ya kuachishwa kazi kwa sababu zisizo eleweka na hutojua kama ni mm ndo sababu.
Kumkomboa mwanamke ni safari ndefu sana.

Yani mimi nna malengo ya kuja kuwajengea wanangu maisha bora huku wewe unawaza kujengea michepuko.
Uniachishe kazi kijinga jinga? Kwani ndoa ndo itanipeleka mbinguni?

Mimi nakwambia unamkuta mtoto wa mtu ana kazi unamuachisha kwa wivu wako. Uje useme kisa ni mkeo.
Hutoamini macho yako!
Na ndo maana mmewaoa hao mliowaoa. Mimi niwe na watoto watatu nianze kurudi saa saba usiku natafta nini huko kazini? Nyie mnaoos wanawake wenye tabia chafu ndo mjipange. Wanawake tunaojielewa tuna focus na kulea familia.
 
Afisa Tabibu njoo uone wanaume wenzako wenye amri za kijuha😂😂😂 wengi wanaopenda kuachisha wake zao kazi ni marioo wivu unawasumbua.
 

Attachments

  • D58FA707-25BC-415B-B6E9-F73AF08034A3.png
    136.3 KB · Views: 8
  • 733112F2-CF79-4FAD-B3C8-92E893782D82.png
    113.9 KB · Views: 7
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
umeolewa upo kwenye utawala mwingine. ndio maana kukawepo uchumba. ili mjuane! wazazi wako wakishapokea mahari kubali. umeaga umeingia utawala mwingne.
 
Mkuu acha kujilinganisha akili yako na wengine.
Ww kama unaakili ya kuifanya kazi kuwa na manufaa kwa familia yako usidhani ni wanawake wote.
Wanawake wengi wenye kazi ni malimbukeni na wamejaa dharau kwenye ndoa zao, wanao jielewa kama ww ni wachache sana tena sana.

Mke wangu kama anafanya kazi na bado anatimiza majukumu yake ya kifamilia na mshahara wake unachangia maendeleo ya familia sina sababu ya kuachisha kazi.

Tofauti na hapo sahau hiyo kazi.
 
Pole kwa maswaibu yaliyokupata madam, maisha ndivyo yalivyo hayalingani wala kufanana.
 
Kwani wewe mama yako alikua anaishi anavyotaka mbele ya baba yako? Au umelelewa na single parent ? Hata mbingunni kwa Mungu malaika wanafuata utaratibu uliowekwa na mungu mwenywe, shetani alitaka kufanya yake alifukuzwa. Na hata shetani ana sheria zake ambazo wachawi,waganga na wenye utajiri wa majini wanafuata, kosea uone. Kama unataka kuishi unavyotaka wewe ishi peke yako.
 
Kwani wewe mama yako alikua anaishi anavyotaka mbele ya baba yako? Au umelelewa na single parent ? Hata mbingunni kwa Mungu malaika wanafuata utaratibu uliowekwa na mungu mwenywe, shetani alitaka kufanya yake alifukuzwa. Na hata shetani ana sheria zake ambazo wachawi,waganga na wenye utajiri wa majini wanafuata, kosea uone. Kama unataka kuishi unavyotaka wewe ishi peke yako.
 

Hivi shetani alisepa peke yake? Hana wenzake wowote aliweza kutoka nao kwa kuwa manipulate?
 
Hivi shetani alisepa peke yake? Hana wenzake wowote aliweza kutoka nao kwa kuwa manipulate?
Biblia inadokeza kua shetani hakutupwa peke yake kuna malaika waliokua wamemuunga mkono kumpindua Mungu alitupwa nao chini,wafuasi wake ndo hao majini ama mapepo
 
utaratibu unaoingilia uhuru binafsi wa mtu
Harufu ya ufeminist.
Hakunaga mwanaume anayeolewa na akabaki na uhuru wake kamili...hata mwanamke aliyeoa hana uhuru kamili.
Ukitaka uhuru kamili baki kwenu au kaa kwako upate wa kutoana hamu basi.

Mnapokuwa pamoja maana yake lazima mkubaliane katika mambo kadhaa.
 
Moja ya comment bora kabisa katika uzii huu umempa elimu nzuri sana mwanamke mwenzio,sidhan kama mwanaume mwenye akili timamu atataman mwanamke awe mtu wa kukaa tu nyumbn kuosha vyombo na kupiga soga na majiran akichoka aangalie tv au aingie fb na insta bali atatak awe na shughuli ndogo au kaz ya kumkeep busy lakini tatizo litarudi kwa mwanamke mwenyewe je anautambuzi na majukumu yake muhimu ya malezi na uangalizi wa familia haijalishi amerudi usiku au jion..
Hakuna mwanaume kichaa atakayemuonea mwanamke hayupo au kumchunga kama mbuzi...ahsante dada kwa comment bora unastahiki ujengewe sanamu pale nyerere square idodomya[emoji736]
 
Una akili sana wewe kiumbe.
Heshima yangu umeipata
 
Yaani wewe unalishwa na kuvyeshwa alafu unataka ufanye unachotoka wap na wap... Kama nakulisha nitakuamlia Cha kufanya na si wewe kuamua Cha kufanya yaani uniambie unaendaa kucheza Ngoma alafu nikubali ntakuja mme bwege....
 
Bro wanaume wengi wanasema kwasababu Kuna tabia za hovyo wanakua wameziona tayari mtu hawezi mwambia mkewe mwenye kujitambua na nafasi yake kuwa aache kazi wengi ufikia maamuzi hayo kutokana na kasoro walizoona
 
Nimeipenda hii comment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…