Ukiona ana sifa hizi kimbia mapema


Duniani hapa wale wenye kulilia na kupigania haki, hata kama ni haki za hovyo ndio wanaotawala mijadala.

Watetezi wa haki za binadamu kwa mfano, wamejipata kwenye utetezi wa haki za ushoga. Yaani wanaume wapewe haki ya kuingizwa dyudyu mgongoni. Eti ni haki ya binadamu.

Ndio hili la mwanadada kulia simu yake inadukuliwa. 90% ya hizi kesi ni matokeo ya mwanamke mwenyewe anavyo-behave kwenye mahusiano. 90% utakuta kijana amekata shauri kutulia na Bidada ilhali Binti bado ako sokoni.

Hivyo Bidada akikaguliwa ama akidukuliwa mawasiliano hilo ni kosa la Bidada. Maana maneno anaonesha yupo na mwamba, lakini matendo hayakidhi.

Maoni yangu: Ikiwa Bidada bado ako sokoni, hana sababu sababu kumuhakikishia mwamba kuwa malengo yanafanana. Atangaze mapema kushindwa. The early you quit, the early someone starts afresh.

Maoni yangu yanahusika kwa wote, akina Dada na akina Kaka. Kama mwenzako yupo amekata shauri na hujakata, mwambie. Take no advantage.

Maisha mafupi haya kukatishana furaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…