Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Mtu wa namna hiyo ujue anakupenda.
Wivu ndo dalili ya mapenzi ya kweli
#nawasilisha 😅👍🏾
Wivu ndo dalili ya mapenzi ya kweli
#nawasilisha 😅👍🏾
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manipulators katika mahusiano;
Ni watu wanaopenda kutawala maisha ya wenzao, mfano anaweza kudukua simu yako, kukuchagulia marafiki, wengine wanazuiwa kufanya kazi, yaani kifupi anakuwa anajikuta kama ni baba yako na huku mmejuana ukubwani na hapo hata hajakuoa.
Wanapenda kutishia wenzao, mfano anaweza kukwambia ukienda kwenye hiyo shughuli usirudi hapa nyumbani, kulazimisha vitu/kutumia nguvu hata pasipohitaji matumizi ya nguvu.
Watu wa namna hiyo ni hatari sana, kwa kuwa anaweza kukufanya uwe na mashaka na uwezo wako binafsi (self-doubt) na kupelekea kutokujiamini.
Vipi mmeshawahi kukutana nao?