Ukiona BBC hawatoi tena habari za vita vya Urusi na Ukraine tambua Ukraine anachezea kichapo

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Juzi juzi hapa mara baada ya jeshi la Ukraine kuivamia Russia hakika habari motomoto za jeshi la Ukraine kusonga mbele zilikuwa zikiandikwa kwa mbwembwe na karibu vyombo vyote vya habari vya Ulaya.

Lakini kwa ukimya huo lazima Ukraine atakuwa anachezea kichapo.
 
Mbwa kumng'ata mtu sio stori. Stori ni mtu kumng'ata mbwa!
 
Juzi juzi hapa mara baada ya jeshi la Ukraine kuivamia Russia hakika habari motomoto za jeshi la Ukraine kusonga mbele zilikuwa zikiandikwa kwa mbwembwe na karibu vyombo vyote vya habari vya Ulaya.

Lakini kwa ukimya huo lazima Ukraine atakuwa anachezea kichapo.
Sana atakuwa anachapwa balaa. Hata yule jamaa ya Reuter safety officer wa russia wamepita naye kwenye hiyo hotel waliyokuwa wanakaa wameichakaza vipande vipande. Tatizo la hii vita ya russia na ukraine ni ya ki maslahi zaidi na haina uhalisia. Unajua walikuwa wanatuona sisi africa hatuna akili yaani ni wagomvi wakati wao ndiyo wanatugombanisha, ila kwa yanayoendelea nina uhakika europe haitakuwa ile ya kabla ya russia ukraine war, hali itakuwa mbaya zaidi na huko mbeleni hata umoja wa ulaya utasambaratika na wataingia vitani wao kwa wao
 
Vipi sheikh huko gaza kuna haja ya cease fire au hali iendelee kama ilivyo?
Lebanon kuna moto sio. Haya kwani Hamas kasema kashindwa vita? Hivi umeona mvua ilio shuka Tela Aviv jana kutokea kwa Hamasi au hukuona 😄
 
Juzi juzi hapa mara baada ya jeshi la Ukraine kuivamia Russia hakika habari motomoto za jeshi la Ukraine kusonga mbele zilikuwa zikiandikwa kwa mbwembwe na karibu vyombo vyote vya habari vya Ulaya.

Lakini kwa ukimya huo lazima Ukraine atakuwa anachezea kichapo.
Mbona taarifa zipo kwenye media zote, tatizo mnapenda sana mambo ya kwenye vijiwe.

Gains on Russian soil shape Ukraine independence celebrations

BBC Home - Breaking News, World News, US News, Sports, Business, Innovation, Climate, Culture, Travel, Video & Audio

https://edition.cnn.com/?refresh=1
 
unaishi urusi,ukraini au buza wilaya mkuranga mkurugenzi anasema kuna ajira ya kuzika maiti zisizo julikana au
 
Juzi juzi hapa mara baada ya jeshi la Ukraine kuivamia Russia hakika habari motomoto za jeshi la Ukraine kusonga mbele zilikuwa zikiandikwa kwa mbwembwe na karibu vyombo vyote vya habari vya Ulaya.

Lakini kwa ukimya huo lazima Ukraine atakuwa anachezea kichapo.
Actualy haziuzi tena, hazina msisimko tena
 
Back
Top Bottom