Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Vipi sheikh huko gaza kuna haja ya cease fire au hali iendelee kama ilivyo?Pia ukiona BBC na CNN na channels za US wakisema Israel hakuna damaged ilio sababishwa na Hezbullah ujuwe wamepokea doze nzito 😄
Mbwa kumng'ata mtu sio stori. Stori ni mtu kumng'ata mbwa!Juzi juzi hapa mara baada ya jeshi la Ukraine kuivamia Russia hakika habari motomoto za jeshi la Ukraine kusonga mbele zilikuwa zikiandikwa kwa mbwembwe na karibu vyombo vyote vya habari vya Ulaya.
Lakini kwa ukimya huo lazima Ukraine atakuwa anachezea kichapo.
Hamas wamegomea proposal mpyaVipi sheikh huko gaza kuna haja ya cease fire au hali iendelee kama ilivyo?
Sana atakuwa anachapwa balaa. Hata yule jamaa ya Reuter safety officer wa russia wamepita naye kwenye hiyo hotel waliyokuwa wanakaa wameichakaza vipande vipande. Tatizo la hii vita ya russia na ukraine ni ya ki maslahi zaidi na haina uhalisia. Unajua walikuwa wanatuona sisi africa hatuna akili yaani ni wagomvi wakati wao ndiyo wanatugombanisha, ila kwa yanayoendelea nina uhakika europe haitakuwa ile ya kabla ya russia ukraine war, hali itakuwa mbaya zaidi na huko mbeleni hata umoja wa ulaya utasambaratika na wataingia vitani wao kwa waoJuzi juzi hapa mara baada ya jeshi la Ukraine kuivamia Russia hakika habari motomoto za jeshi la Ukraine kusonga mbele zilikuwa zikiandikwa kwa mbwembwe na karibu vyombo vyote vya habari vya Ulaya.
Lakini kwa ukimya huo lazima Ukraine atakuwa anachezea kichapo.
Naona Hamas wamekataa inavoonekana moto utaendelea kuwaka.Vipi sheikh huko gaza kuna haja ya cease fire au hali iendelee kama ilivyo?
Lebanon kuna moto sio. Haya kwani Hamas kasema kashindwa vita? Hivi umeona mvua ilio shuka Tela Aviv jana kutokea kwa Hamasi au hukuona 😄Vipi sheikh huko gaza kuna haja ya cease fire au hali iendelee kama ilivyo?
Kwa hiyo vita iendelee sio?Lebanon kuna moto sio. Haya kwani Hamas kasema kashindwa vita? Hivi umeona mvua ilio shuka Tela Aviv jana kutokea kwa Hamasi au hukuona 😄
Kama kawaida yake lakini apigane na wanaume sio vitoto na wanawake wamejilalia majumbani kwaoKwa hiyo vita iendelee sio?
Msaidieni ajue wanaume waliko au aonyeshwe ziliko kambi za kijeshi.Kama kawaida yake lakini apigane na wanaume sio vitoto na wanawake wamejilalia majumbani kwao
Hao lazima watakuwa mashoga wanaenda vitani hawajui Hamasi wako wapi. Anasaidiwa na Nato ku spy gaza masaa 24 kwa siku na anapewa silaha, na bado kashindwa kuwamaliza Hamasi.Msaidieni ajue wanaume waliko au aonyeshwe ziliko kambi za kijeshi.
Mbona taarifa zipo kwenye media zote, tatizo mnapenda sana mambo ya kwenye vijiwe.Juzi juzi hapa mara baada ya jeshi la Ukraine kuivamia Russia hakika habari motomoto za jeshi la Ukraine kusonga mbele zilikuwa zikiandikwa kwa mbwembwe na karibu vyombo vyote vya habari vya Ulaya.
Lakini kwa ukimya huo lazima Ukraine atakuwa anachezea kichapo.
Actualy haziuzi tena, hazina msisimko tenaJuzi juzi hapa mara baada ya jeshi la Ukraine kuivamia Russia hakika habari motomoto za jeshi la Ukraine kusonga mbele zilikuwa zikiandikwa kwa mbwembwe na karibu vyombo vyote vya habari vya Ulaya.
Lakini kwa ukimya huo lazima Ukraine atakuwa anachezea kichapo.