Au ukasikia hivi| ''apasuliwa kichwa badala ya mguu" | Inawezekana matatizo ya nchi ni makubwa kuliko tunavyodhani: Immanuel Didas, apasuliwa kichwa badala ya mguu MOIUpande mwingine daktari wa hivi ndo utasikia alisahau mkasi tumboni kwa mgonjwa.
Field ya afya/medicine ni pana saana.Ukiona unaenda kwenye matibabu na daktari anakuwa kama hajiamini hivi, anababaika-babaika katika kutafuta ugonjwa wako, na hata anatumia google jua kuwa upo kwenye mikono salama. Magonjwa ni mapana sana na yanaingiliana sana dalili.
Ukiona Daktari anakudiagnose fastafasta jua kuwa hafahamu magonjwa. Daktari anayefahamu magonjwa ukimwambia dalili kichwani yanamjia magonjwa na possibilitiies kedekede.
Hapo utaanza kumuona anasolve kwa 'elimination' anaingia na google kuconfirm na kuangalia mengine ya kufanana nayo.
Heshimu sana daktari ambaye ana mashakamashaka hivi. Daktari mwenye shule zaidi ndiye anayeonekana kubabaika zaidi.
Heshimu sana daktari anayetumia google. Ogopa ambaye anakutajia dawa mara tu baada ya kumwambia dalili zako.
You might be right anyway but not always!Ukiona unaenda kwenye matibabu na daktari anakuwa kama hajiamini hivi, anababaika-babaika katika kutafuta ugonjwa wako, na hata anatumia google jua kuwa upo kwenye mikono salama. Magonjwa ni mapana sana na yanaingiliana sana dalili.
Ukiona Daktari anakudiagnose fastafasta jua kuwa hafahamu magonjwa. Daktari anayefahamu magonjwa ukimwambia dalili kichwani yanamjia magonjwa na possibilitiies kedekede.
Hapo utaanza kumuona anasolve kwa 'elimination' anaingia na google kuconfirm na kuangalia mengine ya kufanana nayo.
Heshimu sana daktari ambaye ana mashakamashaka hivi. Daktari mwenye shule zaidi ndiye anayeonekana kubabaika zaidi.
Heshimu sana daktari anayetumia google. Ogopa ambaye anakutajia dawa mara tu baada ya kumwambia dalili zako.
Hakuna mtaalamu wa kugoogle kila kitu. Huo ni uongo bana.Bora akuambie ukapime kuliko ku-google kila kitu,
Ndugu yangu kwa ujinga Kama huu wamemsabibishia Matatizo Makubwa Sana mpaka leo he can't walk anymore
Kila kada wataaalamu hufanya rejea. Unaonaga mavitabu makubwa kwenye ofisi za wanasheria?Hii kada imevamiwa na vilaza poleni sana wagonjwa
Sioni umuhimu wa daktari ili Hali kila ukienda kumuona tuu unalipia alaf anakuelekeza uende maabara , nafkr watu wa maabara wanatakiwa waheshimiwe zaid, unaweza enda Kwa mtaalamu wa maabara ukamwelezea dalili na yeye akakupima mkaona ugonjwa ukasepa Kwa Kwa mtu wa pharmacy ukachora home ..... Madaktari wawe ambao ni specialized, Kwa magonjwa complicatedUkiona unaenda kwenye matibabu na daktari anakuwa kama hajiamini hivi, anababaika-babaika katika kutafuta ugonjwa wako, na hata anatumia google jua kuwa upo kwenye mikono salama. Magonjwa ni mapana sana na yanaingiliana sana dalili.
Ukiona Daktari anakudiagnose fastafasta jua kuwa hafahamu magonjwa. Daktari anayefahamu magonjwa ukimwambia dalili kichwani yanamjia magonjwa na possibilitiies kedekede.
Hapo utaanza kumuona anasolve kwa 'elimination' anaingia na google kuconfirm na kuangalia mengine ya kufanana nayo.
Heshimu sana daktari ambaye ana mashakamashaka hivi. Daktari mwenye shule zaidi ndiye anayeonekana kubabaika zaidi.
Heshimu sana daktari anayetumia google. Ogopa ambaye anakutajia dawa mara tu baada ya kumwambia dalili zako.
Au ukasikia hivi| ''apasuliwa kichwa badala ya mguu" | Inawezekana matatizo ya nchi ni makubwa kuliko tunavyodhani: Immanuel Didas, apasuliwa kichwa badala ya mguu MOI
=
View attachment 2519934
Mkuu naona upo sahihi,hata uko kuingia google ni ishara ya uelewa,maana anajua nini anakitafuta.Ukiona unaenda kwenye matibabu na daktari anakuwa kama hajiamini hivi, anababaika-babaika katika kutafuta ugonjwa wako, na hata anatumia google jua kuwa upo kwenye mikono salama. Magonjwa ni mapana sana na yanaingiliana sana dalili.
Ukiona Daktari anakudiagnose fastafasta jua kuwa hafahamu magonjwa. Daktari anayefahamu magonjwa ukimwambia dalili kichwani yanamjia magonjwa na possibilitiies kedekede.
Hapo utaanza kumuona anasolve kwa 'elimination' anaingia na google kuconfirm na kuangalia mengine ya kufanana nayo.
Heshimu sana daktari ambaye ana mashakamashaka hivi. Daktari mwenye shule zaidi ndiye anayeonekana kubabaika zaidi.
Heshimu sana daktari anayetumia google. Ogopa ambaye anakutajia dawa mara tu baada ya kumwambia dalili zako.
Tatizo tunaloweza kuwa bado tunalo sasa hivi labda ni uhaba wa madakatari ila si ujuzi wa madaktari.Ukiona unaenda kwenye matibabu na daktari anakuwa kama hajiamini hivi, anababaika-babaika katika kutafuta ugonjwa wako, na hata anatumia google jua kuwa upo kwenye mikono salama. Magonjwa ni mapana sana na yanaingiliana sana dalili.
Ukiona Daktari anakudiagnose fastafasta jua kuwa hafahamu magonjwa. Daktari anayefahamu magonjwa ukimwambia dalili kichwani yanamjia magonjwa na possibilitiies kedekede.
Hapo utaanza kumuona anasolve kwa 'elimination' anaingia na google kuconfirm na kuangalia mengine ya kufanana nayo.
Heshimu sana daktari ambaye ana mashakamashaka hivi. Daktari mwenye shule zaidi ndiye anayeonekana kubabaika zaidi.
Heshimu sana daktari anayetumia google. Ogopa ambaye anakutajia dawa mara tu baada ya kumwambia dalili zako.
Na maabara kazi yake niniUkiona unaenda kwenye matibabu na daktari anakuwa kama hajiamini hivi, anababaika-babaika katika kutafuta ugonjwa wako, na hata anatumia google jua kuwa upo kwenye mikono salama. Magonjwa ni mapana sana na yanaingiliana sana dalili.