Ukiona Dalili hizi jua uzee ndio huo unabisha mlangoni

Ukiona Dalili hizi jua uzee ndio huo unabisha mlangoni

Points nne umepatia lakini namba 2 umekosea...mi ni mzee wa miaka 50 lakini sikosi live band makumbusho, oldskool disko pale Ada Estate, hata pale Rotana kwa mzee Kisauji huwa sikosi...na napenda kulamba waigizaji wa kike.....kwenye gari langu nimefunga mziki mnene na napiga mziki wa aina zote, na nyumbani pia

Uzee wa mmoja ni tofauti na mwingine. Uzee haupotezi Hobby ya mtu.
 
Haiwezikani kila unapoenda unawaona Watu kama uliwahi kuwaona sehemu.[emoji2]
Hizo ni vibes (tabia) kama umewahi kuvuta/kula GANJA [emoji23][emoji23]

Sitazami television, sisikilizi redio, nimefunga akaunti ya Facebook, Instagram na whatsapp, lengo nipambane vilivyo na Uzee nilio nao..
 
Back
Top Bottom