Ukiona Dalili hizi jua uzee ndio huo unabisha mlangoni

Ukiona Dalili hizi jua uzee ndio huo unabisha mlangoni

Kuanza kuombwa ombwa michango!
Kuanza kuulizwa watoto hawajambo na watu usiowajua! Sio mtoto unaulizwa Watoto!
Kuanza kuwaelewa watu kabla hujawauliza
 
😄😄😄, Ukweli mchungu huu..., dah baada ya kufariki, sijui nitaenda mbinguni, sijui nitaenda kuzimu au nitabaki kuwa chakula cha wadudu ardhini.. 😰😰😰.
mwamini Yesu upate wokovu, utapata uhakika wa safari yako ya mwisho

YEU NI MWOKOZI
 
Kuanza kung'ang'aniwa na warembo - uchawi wa mafao huu[emoji1787]mamaeeh
 
Halafu wanakuwaga wakali na makorokoro yao
Nakumbuka mwaka majuzi nilienda home tukakuta makorokoro stoo yamesheheni, na madogo tukafanyq usafi mzee kila wakati akawa anachungulia kuangalia tusitupe vitu vyake tukamzuga kuwa tumeona nyoka mkubwa😅😅😅 akawa ametoka tukaita kirikuu visivyo na maana tukatupia kwenye gari nakumbuka lilisomba mara mbili, vikatupwa dampo aliporudi kakuta stoo nyeupe akasifia pamependeza ila kwa maumivu, alichofanya baada ya hapo akajenga godown eneo lingine tofauti na home, kajitengea na kachumba kake kakuendeleza utunzaji
 
🤣🤣🤣 yaani vituko uzee ni changamoto sana. Ila mlimweza japo mzee alichomoa ngoma droo
 
kuwaona madogo wa 2000s kama hawajielewi

ila 2000s na viatu vyao vya manyoya wanazingua sana[emoji1787]
 
🤣🤣🤣 yaani vituko uzee ni changamoto sana. Ila mlimweza japo mzee alichomoa ngoma droo
mavitu ya tangu mwaka 90 huko kayashikilia tu assignment zake vitabu, typewriter za enzi ya mwalimu, tairi za baiskeli eti anatunza kamba🤣, feni mbovu nazo katunza,, nguo ndo tulimuachia nazo ni vile hatukuwa na namna ya kuzifikia
 
Gen Z kukunyima namba ya simu. Aisee kwa mara ya kwanza Gen Z kaninyima namba. Wakati wiki 2 zilizopita Nilipewa namba, just 2weeks dalili za uzee zimehazana mpaka nanyimwa namba.
Sisi tuliekula chumvi nyingi we know the art of wining a woman. But ukiona karata haijafunika ndio uzee.
Binti linajisemea "Hili lizee nilipeke wapi".
 
Mkuu ikikupendeza tuletee mada ya jinsi ya kukabiliana na upweke uzeeni.
Kuna uzi humu. Jamaa alisema zaa mtoto unapokuwa 55. That kid atakuwa rafiki yako utapokuwa 60-65. Watoto wengine wote watakuwa wamejiondokea.
Uzoefu wangu wazee wengi huoa vibinti vya kuwafariji. Mfano mengi ba wazee wastaafu.
Wazee wengine hutoroka nyumba zao na kuhamia nyumba ndogo hata kama pabaya vipi.
Nimewahi shuhudia mzee mmoja anahamia kwenye tembe kumfuata nuymba ndogo, nyumba kubwa palikuwa hapakaliki mama mbogo, baba akasepa.
 
Na jamii inayokuzunguka ikikutazama inaexpect nini kutoka kwako?
Ukiona unafatwa kuombwa ushauri, usuluhisho, unaitwa kwenye kamati kamati za mtaa n.k ujue ushaingia kwenye kundi la wazee wa jamii yako.

Nimecheka sana…
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Nilienda night club, badala ya kupata vibe nikawa nasikia makelele.
Nilitamani niwaambie wapunguze mdundo kidogo kimoyoni nikajisemea, au nishazeeka.
Nikatoka nikasepa home.
 
Points nne umepatia lakini namba 2 umekosea...mi ni mzee wa miaka 50 lakini sikosi live band makumbusho, oldskool disko pale Ada Estate, hata pale Rotana kwa mzee Kisauji huwa sikosi...na napenda kulamba waigizaji wa kike.....kwenye gari langu nimefunga mziki mnene na napiga mziki wa aina zote, na nyumbani pia
Simple..,...Zee La Hovyo.
 
Back
Top Bottom