Ukiona Dalili hizi jua uzee ndio huo unabisha mlangoni

Ukiona vijana wa boda wanakusalimia, au ukiona watu wanakuita mbaba (wahudumu bar)
 
Kuwaza familia Yako all the time
Kids,wife and family matters

Every penny you earn ,u think about your family and the rest fucking shit will follow next

That's me, especially to start a trade so that to support my son's to study abroad in Poland or Hangary

Both God and Surpent help my path
 
Kitambo uko nilikua napenda sana gari iwe na sound kubwa hadi walioko nje wakereke,lakini sasa sipendi hata kusikiliza redio nikiwa kwenye gari,juzi kati nikiwa peke yangu nilisafiri umbali wa zaidi km 150 sikuwasha redio safari yote,uzee huu hapa aisee [emoji848]
Yaaani kwenye hili nami naunga mkono, yaaani nikiingia kwenye gari nikiliwasha tu nazima redio faster, kumbe ni safari ya uzee dooooh na kweli kabla nilikuwa napenda muziki Sana.
 
Mzee wangu alifariki na miaka 47, mwaka 1997… hapo walikuwa wanamwita Mzee fulani. Ila saiv nikiangalia wanaume wa miaka 47-50 mbona sio wazee kama alivyokuwa mzee wangu enzi hizo? Sielewi…

Kingine nilivyokuwa teenager nilikuwa nawaona watu wenye miaka 40-45 ni wazee au umri umeenda ila saiv mimi nina 40 hivi ila bado najiona kijana… Sielewi!
 
maana yake umeshazeeka, huna miaka mingi kazini , anza kuweka sawa pension na akiba
 
Mzee wangu alifariki na miaka 47, mwaka 1997… hapo walikuwa wanamwita Mzee fulani. Ila saiv nikiangalia wanaume wa miaka 47-50 mbona sio wazee kama alivyokuwa mzee wangu enzi hizo? Sielewi…

Kingine nilivyokuwa teenager nilikuwa nawaona watu wenye miaka 40-45 ni wazee au umri umeenda ila saiv mimi nina 40 hivi ila bado najiona kijana… Sielewi!
Na jamii inayokuzunguka ikikutazama inaexpect nini kutoka kwako?
Ukiona unafatwa kuombwa ushauri, usuluhisho, unaitwa kwenye kamati kamati za mtaa n.k ujue ushaingia kwenye kundi la wazee wa jamii yako.
 
Mzee wangu alifariki na miaka 47, mwaka 1997… hapo walikuwa wanamwita Mzee fulani. Ila saiv nikiangalia wanaume wa miaka 47-50 mbona sio wazee kama alivyokuwa mzee wangu enzi hizo? Sielewi…

Kingine nilivyokuwa teenager nilikuwa nawaona watu wenye miaka 40-45 ni wazee au umri umeenda ila saiv mimi nina 40 hivi ila bado najiona kijana… Sielewi!
Sasa mimi nilivyokuwa na miaka 26 nilikutana na mmiliki fulani wa mabasi maarufu hapa Tanzania akawa anamtania mwenzake ambaye ndo alikuwa kaanza biashara ya mabasi kuwa kachelewa kupata pesa.. hapo jamaa alikuwa na miaka 38. Mimi leo nina miaka 38 hata robo ya hela ya kununua basi sina. Halafu naona ni kama juzi tu.
 
umekwisha ndio maana umeamua uwe chawa tuu
 
Back
Top Bottom