Unachosema ni kweli japo kwenye kila kanuni kuna exceptions.
•Sipendi kelele kabisa, nikiwa peke yangu utadhani hakuna mtu, watoto wanaregulate sauti kila nikiwepo.
• Umoja kila mahali, vikundi kuanzia mtaani kwangu, kanisani, magrp ya shule na chuo....ni sehemu ya kutengeneza security.
• Salam za shkamoo, japo sipendi sana hiyo salam, na huwa siitoi kwa walionizidi.
Actually ukishapiga mid30s uzee unakuja taratibu ila kwa uhakika sana, kuna wakati unajiambia bado kidogo ila muonekano unakusuta.
Wakati ukuta, soon tutakuwa wazee wa umri, 60+ in the near future na generation yetu itapita.
Wengi wanaokata moto ni 1950s, yaani speed yao ni kubwa sana.