Ukiona dalili hizi kwa mwanamke wako achana nae atakusumbua mbeleni

Gien Banks

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
336
Reaction score
887
Ebana eeeh kwema wadau

I rarely post jukwaa hili mara nyingi napita na soma na ku comment tu. Ila mpaka nimeamua kuanzisha thread ni vile nataka wanaume wenzangu hususani vijana ambao mna muelekeo wa kwenda kufunga au kubariki ndoa (kipindi cha ku date na kipindi cha uchumba)

Naturally na biblically (kwenye vitabu vitakatatifu) sisi wanaume hatujakamilika na tuna mapungufu yetu lakini ili tu function vizuri kwenye maisha ni lazima tuwe na ubavu wetu (mwanamke) na sio tu mwanamke bali mwanamke sahihi kinyume na hapo either mambo na maendelo yako yatakua stagnant (hayastawi) ama kuharibikiwa kabisa.

Zipo dalili nyingi sana mbaya tunaweza tukawa tunaziona kwa wanawake ila tunaamua kuzipuuza ila in reality tukishaingia kwenye ndoa zinaongezeka maradufu hatimae kuelekea kuharibikiwa (NB: uhuni, umalaya sio kigezo pekee cha kuachana na mwanamke)

To The Matter, Ukiona viasharia vya tabia hizi kwa mwanamke wako achana nae ni wazi baadae hutafurahia ndoa yako

1. Ubinafsi: Mwananmke mwenye kujithamini zaidi yeye kuliko wewe ambae chances unapambana ku provide sana kwake hakufwai. Upendo na Huruma vinakwenda sambamba, huyu siku uko na hali mbaya hatakua na uchungu na wewe.

2. Dharau: Ukishaona viashiria vya dharau kwa mwanamke wako tena za wazi wazi huyu hakufwai ni wazi hawezi kutunzia heshima yako hata anapokua na watu ambao wanaku undermine, she will never defend you ukiwa haupo na hii hata kwa ndugu zake. Achana na mwanamke asiyejua kusitiri madhaifu ya nyumba yake…..hata kama mambo hayako shawari kati yenu hekima ni kuficha uozo wenu huku mkipambania suluhu kimya kimya. People really dont care about ur problems zaidi ni unafiki tu.

3. Kunyenyekewa: Epuka mwanamke anaependa kunyenyekewa sanaa. Yani wewe mwanaume ukiwa unahitaji kitu kwa mwanamke wako mpaka ubembeleze uombe sanaa kama vile ni hisani kupata kitu flan kwa mkeo. This is very wrong maana kama wewe una provide basics zote why ukiwa na uhitaji uombe na kunyenyekea sana. Wote mnajua umuhimu wa mtu kwa mwenzake. Why beg ?? Haiko sawa ukiona hivyo piga chini. Hizi ni itikadi za unyanyasaji. Jamani kuna wanawake wana nyanyasa, vile wanaume tumeumbiwa ukimya hatuwezi lia lia kwa kila jambo. Amini kwamba.

4. Lugha Na Kauli Chafu: Hii inaendana na point no. 2. Mwanamke asie na staha, heshima na adabu hafai. Brand safi ya familia na nyumba yako ni muhimu. Usitolerate kabisa lugha na kauli chafu from your woman kwenye hadhara hata kama ni utani. Amethubutu kwenye hadhara siku nyingine atakukosea heshima hadharani pia na ni likely hana maadili.

5. Kuendekeza Anasa na Starehe: Sina sababu kueleza sana hapa vijana wa mjini mnanielewa. Ukishaona ni wa hivi chances hana mtazamo wa kutunza hela na kuzalisha mali piga chini. Hamtafika popote ukiwa na mwanamke wa hivi. Mwanamke asiye kua na kiasi na kuwa economical na kukuhamasisha wewe mwanaume kuwa economical na your spending habits achana nae hakufwai. Siku huna kitu lazima asepe na wenye nazo.

Achana kabisa na mwanamke anaekula sana pombe. Kwenye pombe kuna mambo mengi ya kidunia huyu mwanamke hatokufaa.

6. Greed / Tamaa - Muogope mwanamke mwenye tamaa kama ukimwi. Huyu atafanya chochote hata kukuwekea mitego mibaya ili atimize haja zake. Kama mmependana kweli na kuamua kukaa wote kwa shida na raha why aweke misimamo na itikadi za tamaa kama hivi vyake na hivi alileta na kufanya yeye nyumbani na vingine ni vyako. Why kuwe na atmosphere ya mali zako na mali zake kama vyote mnatafuta na kuchangia kwa pamoja mbali ya kwamba mnafanyia nyumba yenu na kwa faida ya watoto. Hii ni shida, divorce rates are high mali nyingi zinaleta shida na wengine hata kuishia pabaya.

Well ndugu zangu naomba na nyie muongezee zingine kama mna cases mnaweza share vijana tujifunze na kuimarika kifikra na mtazamo.

Ni mbaya na hatari kupuuza dalili zote mbaya na chafu za mpenzi wako maana badaae madhara yake ni makubwa na hayataweza tatuliwa kwani ulishafanya mistake kubwa itayo kugharimu ur whole life.

Huo ni mtazamo wangu, Ahsanteni.
 
Sawa, ongezea tako pia kwenye hizo sifa zako. Nyie ndo huwa mnaishia kuua/kujiua au kukimbia nyumba! Mwanaume ukishindwa kutumia akili kwenye maamuzi umechagua kuanguka.

Sahihi Kabisa Mkuu [emoji817]
 
Sikuhizi mahusiano mazuri ni bahati nasibu mkuu,watu wanalia huko aisee[emoji119]

Balaa, Yani Vibaya Mnoo

To add a small true story

Kuna jamaa mmoja a very close friend of mine from a very well off family alimpenda binti mmoja sanaaa ambae walikutana tu kwenye viwanja vya bata….ila jamaa alificha sana uhalisia wake kwa dem asimjue ile ki undani yupoje na kwao wapo wapo vp (hakuona maana wala ulazima)

Ikatokea kama fate tu dem ni kabila moja na jamaa na asili zao wanatokea sehem mmoja mkoani kaskazini huko……basi waka exchange dials and became friends. Dem ni msomi mzuri sana na kwa bahati mbaya kwao alimpoteza baba akiwa bado mdogo sana and so wakapoteza vitu na mali zao kwa ndugu so basically dem alilelewa na mzazi mmoja ambae alikua kawaida sanaa.

Sasa jamaa initially from the looks, CV ya dem and all jamaa akasema hatimae nimepata a woman nahisi huenda nitaja mfanya mke. Sasa siku zilivyoenda jamaa akaona viashiria vya tabia nilizotaja hapo juu kwenye post za huyo manzi (mind you jamaa all this while jamaa haku disclose any of his strengths na alivyo navyo)

Dem akawa anamtesa sana jamaa na tabia zake, jamaa kuona ya nn mateso na mi mwanaume nimekamilka naeza pata mwanamke mwingine mzuri tu. Jamaa was too smart akapiga chini.

Mtu anajishusha standards ili a pursue a woman anaehisi atampenda na kumfanya mke ila dem anajiona kashayaweza. Jamaa kapiga chini wahed.

MORAL OF THE STORY:

Most women wanapoteza soo many good and fine quality men cz of tabia, hulka na mambo yao ya ajabu kisa tu cha ki CV chake na vi cent vyake so anaona kayamaliza.

Dem mpaka leo tunamuona viwanja mjini hapa ana ruka ruka tu, wajanja wa mjini wanamchukua maelezo tu. Umri umeenda No Ndoa. Jamaa kapata manzi mwingine anaejielewa from a very nice family.
 
Balaa, Yani Vibaya Mnoo

To add a small true story

Kuna jamaa mmoja a very close friend of mine from a very well off family alimpenda binti mmoja sanaaa ambae walikutana tu kwenye viwanja vya bata….ila jamaa alificha sana uhalisia wake kwa dem asimjue ile ki undani yupoje na kwao wapo wapo vp (hakuona maana wala ulazima)

Ikatokea kama fate tu dem ni kabila moja na jamaa na asili zao wanatokea sehem mmoja mkoani kaskazini huko……basi waka exchange dials and became friends. Dem ni msomi mzuri sana na kwa bahati mbaya kwao alimpoteza baba akiwa bado mdogo sana and so wakapoteza vitu na mali zao nyingi sana kwa ndugu so basically dem alilelewa na mzazi mmoja ambae alikua kawaida sanaa.

Sasa jamaa initually from the looks, CV ya dem and all jamaa akasema hatimae nimepata a woman nahisi huenda nitaja mfanya mke. Sasa siku zilivyoenda jamaa akaona viashiria vya tabia nilizotaja hapo juu kwenye post za huyo manzi (mind you jamaa all this while jamaa haku disclose any of his stregths na alivyo navyo)

Dem akawa anamtesa sana jamaa na tabia zake, jamaa kuona ya nn mateso na mi mwanaume nimekamilka naeza mwanamke mwingine mzuri tu. Jamaa was too smart akapiga chini.

MORAL OF THE STORY:

Most women wanapoteza soo many good and fine quality men cz of tabia, hulka na mambo yao ya ajabu kisa tu cha ki CV chake na vi cent vyake so anaona kayamaliza.

Dem mpaka leo tunamuonana viwanja mjini hapa ana ruka ruka tu. Umri umeenda No Ndoa. Jamaa kapata manzi mwingine anaejielewa from a very nice family.
Safi
 
Ebana eeeh kwema wadau

I rarely post jukwaa hili mara nyingi napita na soma na ku comment tu. Ila mpaka nimeamua kuanzisha thread ni vile nataka wanaume wenzangu hususani vijana ambao mna muelekeo wa kwenda kufunga au kubariki ndoa (kipindi cha ku date na kipindi cha uchumba)

Naturally na biblically (kwenye vitabu vitakatatifu) sisi wanaume hatujakamilika na tuna mapungufu yetu lakini ili tu function vizuri kwenye maisha ni lazima tuwe na ubavu wetu (mwanamke) na sio tu mwanamke bali mwanamke sahihi kinyume na hapo either mambo na maendelo yako yatakua stagnant (hayastawi) ama kuharibikiwa kabisa.

Zipo dalili nyingi sana mbaya tunaweza tukawa tunaziona kwa wanawake ila tunaamua kuzipuuza ila in reality tukishaingia kwenye ndoa zinaongezeka maradufu hatimae kuelekea kuharibikiwa (NB: uhuni, umalaya sio kigezo pekee cha kuachana na mwanamke)

To The Matter, Ukiona viasharia vya tabia hizi kwa mwanamke wako achana nae ni wazi baadae hutafurahia ndoa yako

1. Ubinafsi: Mwananmke mwenye kujithamini zaidi yeye kuliko wewe ambae chances unapambana ku provide sana kwake hakufwai. Upendo na Huruma vinakwenda sambamba, huyu siku uko na hali mbaya hatakua na uchungu na wewe.

2. Dharau: Ukishaona viashiria vya dharau kwa mwanamke wako tena za wazi wazi huyu hakufwai ni wazi hawezi kutunzia heshima yako hata anapokua na watu ambao wanaku undermine, she will never defend you ukiwa haupo na hii hata kwa ndugu zake. Achana na mwanamke asiyejua kusitiri madhaifu ya nyumba yake…..hata kama mambo hayako shawari kati yenu hekima ni kuficha uozo wenu huku mkipambania suluhu kimya kimya. People really dont care about ur problems zaidi ni unafiki tu.

3. Kunyenyekewa: Epuka mwanamke anaependa kunyenyekewa sanaa. Yani wewe mwanaume ukiwa unahitaji kitu kwa mwanamke wako mpaka ubembeleze uombe sanaa kama vile ni hisani kupata kitu flan kwa mkeo. This is very wrong maana kama wewe una provide basics zote why ukiwa na uhitaji uombe na kunyenyekea sana. Wote mnajua umuhimu wa mtu kwa mwenzake. Why beg ?? Haiko sawa ukiona hivyo piga chini. Hizi ni itikadi za unyanyasaji. Jamani kuna wanawake wana nyanyasa, vile wanaume tumeumbiwa ukimya hatuwezi lia lia kwa kila jambo. Amini kwamba.

4. Lugha Na Kauli Chafu: Hii inaendana na point no. 2. Mwanamke asie na staha, heshima na adabu hafai. Brand safi ya familia na nyumba yako ni muhimu. Usitolerate kabisa lugha na kauli chafu from your woman kwenye hadhara hata kama ni utani. Amethubutu kwenye hadhara siku nyingine atakukosea heshima hadharani pia na ni likely hana maadili.

5. Kuendekeza Anasa na Starehe: Sina sababu kueleza sana hapa vijana wa mjini mnanielewa. Ukishaona ni wa hivi chances hana mtazamo wa kutunza hela na kuzalisha mali piga chini. Hamtafika popote ukiwa na mwanamke wa hivi. Mwanamke asiye kua na kiasi na kuwa economical na kukuhamasisha wewe mwanaume kuwa economical na your spending habits achana nae hakufwai. Siku huna kitu lazima asepe na wenye nazo.

Achana kabisa na mwanamke anaekula sana pombe. Kwenye pombe kuna mambo mengi ya kidunia huyu mwanamke hatokufaa.

6. Greed / Tamaa - Muogope mwanamke mwenye tamaa kama ukimwi. Huyu atafanya chochote hata kukuwekea mitego mibaya ili atimize haja zake. Kama mmependana kweli na kuamua kukaa wote kwa shida na raha why aweke misimamo na itikadi za tamaa kama hivi vyake na hivi alileta na kufanya yeye nyumbani na vingine ni vyako. Why kuwe na atmosphere ya mali zako na mali zake kama vyote mnatafuta na kuchangia kwa pamoja mbali ya kwamba mnafanyia nyumba yenu na kwa faida ya watoto. Hii ni shida, divorce rates are high mali nyingi zinaleta shida na wengine hata kuishia pabaya.

Well ndugu zangu naomba na nyie muongezee zingine kama mna cases mnaweza share vijana tujifunze na kuimarika kifikra na mtazamo.

Ni mbaya na hatari kupuuza dalili zote mbaya na chafu za mpenzi wako maana badaae madhara yake ni makubwa na hayataweza tatuliwa kwani ulishafanya mistake kubwa itayo kugharimu ur whole life.

Huo ni mtazamo wangu, Ahsanteni.
Namba
7.muweka brich
8.mpenda vigodoro
9.hapendi wazazi wako
10.mchoyo
11. mvaa vikuku
12.

Hizi point nilizo niongeze mimi niza kubuni/kujitungia/ kusadikika zisiaminiwe sana & vice versa is True
 
Balaa, Yani Vibaya Mnoo

To add a small true story

Kuna jamaa mmoja a very close friend of mine from a very well off family alimpenda binti mmoja sanaaa ambae walikutana tu kwenye viwanja vya bata….ila jamaa alificha sana uhalisia wake kwa dem asimjue ile ki undani yupoje na kwao wapo wapo vp (hakuona maana wala ulazima)

Ikatokea kama fate tu dem ni kabila moja na jamaa na asili zao wanatokea sehem mmoja mkoani kaskazini huko……basi waka exchange dials and became friends. Dem ni msomi mzuri sana na kwa bahati mbaya kwao alimpoteza baba akiwa bado mdogo sana and so wakapoteza vitu na mali zao kwa ndugu so basically dem alilelewa na mzazi mmoja ambae alikua kawaida sanaa.

Sasa jamaa initially from the looks, CV ya dem and all jamaa akasema hatimae nimepata a woman nahisi huenda nitaja mfanya mke. Sasa siku zilivyoenda jamaa akaona viashiria vya tabia nilizotaja hapo juu kwenye post za huyo manzi (mind you jamaa all this while jamaa haku disclose any of his strengths na alivyo navyo)

Dem akawa anamtesa sana jamaa na tabia zake, jamaa kuona ya nn mateso na mi mwanaume nimekamilka naeza pata mwanamke mwingine mzuri tu. Jamaa was too smart akapiga chini.

Mtu anajishusha standards ili a pursue a woman anaehisi atampenda na kumfanya mke ila dem anajiona kashayaweza. Jamaa kapiga chini wahed.

MORAL OF THE STORY:

Most women wanapoteza soo many good and fine quality men cz of tabia, hulka na mambo yao ya ajabu kisa tu cha ki CV chake na vi cent vyake so anaona kayamaliza.

Dem mpaka leo tunamuonana viwanja mjini hapa ana ruka ruka tu, wajanja wa mjini wanamchukua maelezo tu. Umri umeenda No Ndoa. Jamaa kapata manzi mwingine anaejielewa from a very nice family.
Bila shaka ni pisi ya arusha lile kabila la machalii
 
1,2,6 sha zi apply kwa mabinti kadhaa . Wanawake huzani hatuwapimi tukiwa nao na daima mtu awezi ficha tabia yake kuna mda ata jisahau tuu
 
Balaa, Yani Vibaya Mnoo

To add a small true story

Kuna jamaa mmoja a very close friend of mine from a very well off family alimpenda binti mmoja sanaaa ambae walikutana tu kwenye viwanja vya bata….ila jamaa alificha sana uhalisia wake kwa dem asimjue ile ki undani yupoje na kwao wapo wapo vp (hakuona maana wala ulazima)

Ikatokea kama fate tu dem ni kabila moja na jamaa na asili zao wanatokea sehem mmoja mkoani kaskazini huko……basi waka exchange dials and became friends. Dem ni msomi mzuri sana na kwa bahati mbaya kwao alimpoteza baba akiwa bado mdogo sana and so wakapoteza vitu na mali zao kwa ndugu so basically dem alilelewa na mzazi mmoja ambae alikua kawaida sanaa.

Sasa jamaa initially from the looks, CV ya dem and all jamaa akasema hatimae nimepata a woman nahisi huenda nitaja mfanya mke. Sasa siku zilivyoenda jamaa akaona viashiria vya tabia nilizotaja hapo juu kwenye post za huyo manzi (mind you jamaa all this while jamaa haku disclose any of his strengths na alivyo navyo)

Dem akawa anamtesa sana jamaa na tabia zake, jamaa kuona ya nn mateso na mi mwanaume nimekamilka naeza pata mwanamke mwingine mzuri tu. Jamaa was too smart akapiga chini.

Mtu anajishusha standards ili a pursue a woman anaehisi atampenda na kumfanya mke ila dem anajiona kashayaweza. Jamaa kapiga chini wahed.

MORAL OF THE STORY:

Most women wanapoteza soo many good and fine quality men cz of tabia, hulka na mambo yao ya ajabu kisa tu cha ki CV chake na vi cent vyake so anaona kayamaliza.

Dem mpaka leo tunamuonana viwanja mjini hapa ana ruka ruka tu, wajanja wa mjini wanamchukua maelezo tu. Umri umeenda No Ndoa. Jamaa kapata manzi mwingine anaejielewa from a very nice family.
Kiswanglish ni lugha inayokera. Huyo jamaa ni wewe.
 
Back
Top Bottom