Ukiona Dalili hizi Kwenye Simu Yako, Jua Kuwa Uko "hacked"

Haya sasa dawa ni nn kuondosha hili kama nadukuliwa!??[emoji2]
Back up vitu vya msingi piga chini os. Ikiendelea basi ujue muhusiia anatumia remote access sio local access japo sidhani kama kuna mtu anaweza kwenda mbali zaidi kiasi cha kutumia remote access labda kama upo idara nyeti ama mabenki yana huo mchezo pia kwa staff nyeti na pia wanasiasa wanadukuliwa remotely.
 
Mimi nikitumia earphone juu kunakua kunajitokeza kitufe Cha kijani mic na nikikata mazungumzo kinakata ,na nisipotumia earphone hali hiyo haijitokezi ,hapa inakuaje
 
Inamaanisha earphone inai keep busy MIC so sidhani kama kuna shida hapo.
 
Back up vitu vya msingi piga chini os. Ikiendelea basi ujue muhusiia anatumia remote access sio local access japo sidhani kama kuna mtu anaweza kwenda mbali zaidi kiasi cha kutumia remote access labda kama upo idara nyeti ama mabenki yana huo mchezo pia kwa staff nyeti na pia wanasiasa wanadukuliwa remotely.
Elimu nzuri.
 
Hakuna simu ambayo haidukuliwi mzee
Zipo au unataka nizitaje moja baada ya nyingine?

✓OnePlus 8/8T, 9/9 Pro and 10 Pro

✓Blackphone PRIVY
✓Purism Librem 5
Intact Phone Arcane – Data Castle
✓Intact Phone bond – Cyber Crime Protection
✓Darkmatter Katim Phone
✓IntactPhone R2
✓Bittium Tough Mobile
✓Bittium Tough Mobile 2 – Encryption Empire
✓Finney U1 – Swiss-made
✓Silent Circle Blackphone v2 – Stealth and Private
✓Blackberry DTEK50

HAZIDUKULIWI NG'O
 
Picha mkuu! Fahari ya macho! Hapo naona kama majina ya madawa pharmacy[emoji16]
 
Zipo au unataka nizitaje moja baada ya nyingine?

✓OnePlus 8/8T, 9/9 Pro and 10 Pro

✓Blackphone PRIVY
✓Purism Librem 5
Intact Phone Arcane – Data Castle
✓Intact Phone bond – Cyber Crime Protection
✓Darkmatter Katim Phone
✓IntactPhone R2
✓Bittium Tough Mobile
✓Bittium Tough Mobile 2 – Encryption Empire
✓Finney U1 – Swiss-made
✓Silent Circle Blackphone v2 – Stealth and Private
✓Blackberry DTEK50

HAZIDUKULIWI NG'O
Natumia OnePlus 10 Pro 5G. Kuonesha kuwa ni rahisi nimeroot kabisaaa.

Nambie kimebaki nini hapo, kama nimeweza root?View attachment 2563053
Screenshot_2023-03-23-20-34-35-44_436dddcf4bec59302132ed6cf4bd8219.jpg
 
Zipo au unataka nizitaje moja baada ya nyingine?

✓OnePlus 8/8T, 9/9 Pro and 10 Pro

✓Blackphone PRIVY
✓Purism Librem 5
Intact Phone Arcane – Data Castle
✓Intact Phone bond – Cyber Crime Protection
✓Darkmatter Katim Phone
✓IntactPhone R2
✓Bittium Tough Mobile
✓Bittium Tough Mobile 2 – Encryption Empire
✓Finney U1 – Swiss-made
✓Silent Circle Blackphone v2 – Stealth and Private
✓Blackberry DTEK50

HAZIDUKULIWI NG'O
Na kwenye orodha ya simu ulizoweka, hakuna ambayo haidukuliwi kwa taarifa yako.
Ila, kuna kitu kimoja kwenye haya mambo, kuna simu ambazo watu hawatilii mkazo, kwa mfano windows phone, blackberry, symbian...zilishapita na wakati ila mtu akikutaka akikutafuta ukijaa anadukua
 
Nimekwambia bado haujanielewa ukinielewa utaacha kubisha
 
Zipo au unataka nizitaje moja baada ya nyingine?

✓OnePlus 8/8T, 9/9 Pro and 10 Pro

✓Blackphone PRIVY
✓Purism Librem 5
Intact Phone Arcane – Data Castle
✓Intact Phone bond – Cyber Crime Protection
✓Darkmatter Katim Phone
✓IntactPhone R2
✓Bittium Tough Mobile
✓Bittium Tough Mobile 2 – Encryption Empire
✓Finney U1 – Swiss-made
✓Silent Circle Blackphone v2 – Stealth and Private
✓Blackberry DTEK50

HAZIDUKULIWI NG'O
Hizo One Plus ulizozitaja zinadukuliwa tena kirahisi kama ilivyo kwa simu nyingine za Android
 
Nimesema haujaelewa ukielewa hutabisha

Eleza process za kufukua/kudukua OnePlus 8 usiruke hata step moja nikuone
 
Back
Top Bottom