Ukiona Dalili hizi Kwenye Simu Yako, Jua Kuwa Uko "hacked"


Mimi ndio nimeona hiko kitufe cha kijani nikasema niangalie nikaona hiyo MIC na maelezo hayo. Hili limeanza leo na nilitafakari muda mrefu baada ya kukuona hiko then nilipoingia JF nikakutana na hii mada. Kabla ya simu hii miliyonunua Jumatatu, nilikuwa na Infinix nayo kuna muda mtu akinipigia simu sipatikani au naongea then tunapotelea hewani. Nikahisi kuna mtu ananidukua. Nikijaribu kutumia zile namba za kujua kama nadukuliwa sioni kama nadukuliwa. Sasa natakiwa nifanyaje?
 
Nimesema haujaelewa ukielewa hutabisha

Eleza process za kufukua/kudukua OnePlus 8 usiruke hata step moja nikuone
Hapo kisichoeleweka ni nini, umesema hazidukuliwi.
Unaniomba nikutajie steps za kuidukua OnePlus lakini mimi sio mdukuaji, Siwezi kukutajia steps za udukuaji kwenye simu yoyote ile hata Tecno.
Lakini hizo OnePlus zinadukuliwa vizuri tu na hao watu wanaoitwa hackers
 
shukrani
 
Mzee mkavu acha kukakamaa na kukaza ubongo nmesema shusha steps we si umesema unaweza eleza one after another haya proceed, usianze kuzuga
 
Nikupe story moja. Kuna mu israel alitest kudukua simu kwa kutumia audio signals tu. Na research paper yake ipo mitandaoni. Alivuma sana.

Kuna technique inaitwa Audio Frequency-Shift Keying (A-FSK). Hii hata nokia ya tochi inahakiwa. Hii inaweza kutransmit audio, text na numeric data kwenda kilometer kama 40 hivi kutoka ulipo.

Kwenye hizo ulizotaja inawezekana pia kwa kutumia both audio signals na internet.
 
Sijapinga kila kilichotengenezwa na mwanadamu kina uwezo wa kuharibiwa au kufumuliwa au kufunguliwa au kufichuliwa na mwanadamu mwingine, ndio maana kuna mtu yeye kazi yake ni kutest mifumo tu kucheck loop holes n so forth Ila kwa hizi nilizotaja zipo more secure compared na aina zingine za simu ndio maana nikazichagua
 
Mzee mkavu acha kukakamaa na kukaza ubongo nmesema shusha steps we si umesema unaweza eleza one after another haya proceed, usianze kuzuga
Nioneshe niliposema ninaweza kutaja steps, one after another
Isije ikawa unabishana na mtu siye. Hebu rudi huko juu tafuta comment ya mtu aliyesema anaweza kukutajia steps moja baada ya nyingine ndio umuombe akutajie. Aliyekuambia hivyo sio mimi, kwangu umekosea[emoji706][emoji706]
 
Upo sahihi security ya simu inatofautiana. So kuna ambazo ni ngumu sana kudukua na ambazo nyepesi. Android nyingi zinakuwaga nyepesi kasoro baadhi ya samsung galaxy kama s20, etc. Iphone ngumu kiasi ila blackbery ngumu sana mana zina encrypt hadi audio signals.
 
Kwa hio wewe hujui Ila unakisia kua wanaweza kuzidukua au umeshawahi kuona na kushuhudia zikidukuliwa, sijasema kuzimodify au kuzifanyia rooting nimesema kuzidukua
 
Najifunza kwenye kila comment zako mkuu.
 
Najifunza kwenye comments zako mkuu.
 
blackbery ngumu sana mana zina encrypt hadi audio signals
Na hiki ndicho watu hawajakielewa sasa namshangaa mtu anakuja kunipinga wakati ukianza kuhack hizo simu ni sawa na kuingia kwenye puzzle ambayo hujawahi kuiona maisha yako yote sasa ku-decipher hizo encryption zilizosukwa humo ndio utaelewa huelewi
 
Elimu nzuri sana
 
Yangu inaonesha hivi kwenye camera na call mtoto wa mama mkwe amenidukua nini
 
Naomba nisaidie cha kufanya.... Nimeangalia simu yangu inaonyesha kile umesema hapo juu.


Asante
 

Attachments

  • 1707317972323.jpg
    5.5 KB · Views: 10
  • 1707320725271.jpg
    16.7 KB · Views: 9
Bongo watu wakijua namba yako tu tayari mawasiliano yako wanayo
 
Naomba nisaidie cha kufanya.... Nimeangalia simu yangu inaonyesha kile umesema hapo juu.


Asante
Hapo mbona kuna icon ya "on going call" kwamba wakati unapiga hii screenshot kuna simu ulikuwa unaongea nayo au unapiga, kama ni hivyo basi hiyo ndio sababu ya kuonekana kwa hiyo icon ya kijani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…