Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Wataalam wanasema round ya kwanza inaamuliwa na MWANAMUME ila round zingine zooote zinazofuata zinaamuliwa na MWANAMKE.
Kwahiyo ukiona unaenda vizuri round ya kwanza lakini baada ya hapo hauwezi kuendelea au unakinai tendo basi ujue tatizo lipo kwa huyo baby wako.
Kama baby wako amenyooka vizuri utashangaa tu wewe mwenyewe umeshafika round ya 5 au 6 huko na bado mnara unasoma.
Take it or leave it📌📌📌🔨🔨🔨