Ukiona hauwezi kurudia round ya pili ujue tatizo ni hili

Ukiona hauwezi kurudia round ya pili ujue tatizo ni hili

Naomba msaada kwa hili Mimi napiga 1 kwa si chini ya dk 20 then Cha pili ni ishu nyingine zaidi ya saa zima au nisipige Ila muda wote 4G + inasoma hii inafanya nagombana na mademu nakumbuka last time nilipiga show from 7mchana to 5 usk nikapiga round 1 demu wa watu alienda mara 7 hanitaki tena na siitumii booster yoyote je Nina tatizo gani kiafya kutokana na hii hali?
uko njema mkuu ila nenda taratibu utaua vitoto vya watu upewe mada kesi bure😆
 
Yaani wewe umemaliza hao wengine naona ni gusa waa gusa tena waa ndyo mwanamke anaweza enda round zote hizo round ya pili ni story nyingine kumwaga ni issue sana sasa wenzangu wanaenda round mpaka saba.
 
hapa hatuongelei majobless wala watumwa wa ngono mkuu ni watu hawahawa wa kawaida tena wenye mishe zao kibao.

kumbuka hapa unahitaji right mentality na mwenza sahihi tu.
Unajua hilo tendo linahitaji afya ya mwili. Umeenda Job saa 1 asubuhi na umerudi saa 12 jioni. Hapo kumbuka ukifika kuna kuangalia tv, uoge na unatakiwa upate usingizi wa kutosha ili kesho asubuhi uamke tena ukapambane.
Hizo bao 6 au 7 unazifikisha wapi? Ukijitahidi sana ni 2 na 3 inategemea na mwanamke mwenyewe anavyojituma kitandani.
Hapo ulipo, fanya kama unamgonga mwanamke, hutoboi dk 5. Umechoka, mawazo ya hela. Utafikisha 6 au 7 na ukizingatia chakula ni ugali wa sembe na dagaa?
Ushakutana na mwanamke anakutengea K, wewe ndiyo ushughulike, yeye ametulia. Utafikisha 6 au 7 kama hauna kazi, huyo demu hamjakutana muda na wewe una muda haujapiga demu.
 
Wataalam wanasema round ya kwanza inaamuliwa na MWANAMUME ila round zingine zooote zinazofuata zinaamuliwa na MWANAMKE.

Kwahiyo ukiona unaenda vizuri round ya kwanza lakini baada ya hapo hauwezi kuendelea au unakinai tendo basi ujue tatizo lipo kwa huyo baby wako.

Kama baby wako amenyooka vizuri utashangaa tu wewe mwenyewe umeshafika round ya 5 au 6 huko na bado mnara unasoma.

Take it or leave it📌📌📌🔨🔨🔨
Raundi 6 kwani nalipwa?
 
uko njema mkuu ila nenda taratibu utaua vitoto vya watu upewe mada kesi bure😆
Kifupi huwa naogopa mahusiano maana nikipiga mara 2 tatu nang'ang'aniwa Hadi kutishiwa kurogwa nikiacha mahusiano so naishi kijanja mmoja alizimia kumbe alikuwa na pumu staki kukumbukia hili
 
Hizi story ndizo zinawafanya baadhi ya wanaume washindwe kujiamini kitandani, hivi hizo bao 4,5 au sita unataka kuvumbua nini? Au ndio zile bao za jogoo? Hivi kweli bao la kwanza utumie dakika 30 mpaka 40 then la pili liende saa nzima kisha useme utapiga bao 4 au 5? May be unaongelea mchepuko mnaekutana mara moja kwa mwezi ila sio kwa mke mmeishi miaka mitano na kuendelea.
unazijua dk 30 keli wewe kwa round ya kwanza?

JF bhana
 
Back
Top Bottom