Ukiona hauwezi kurudia round ya pili ujue tatizo ni hili

Ukiona hauwezi kurudia round ya pili ujue tatizo ni hili

Wataalam wanasema round ya kwanza inaamuliwa na MWANAMUME ila round zingine zooote zinazofuata zinaamuliwa na MWANAMKE.

Kwahiyo ukiona unaenda vizuri round ya kwanza lakini baada ya hapo hauwezi kuendelea au unakinai tendo basi ujue tatizo lipo kwa huyo baby wako.

Kama baby wako amenyooka vizuri utashangaa tu wewe mwenyewe umeshafika round ya 5 au 6 huko na bado mnara unasoma.

Take it or leave it📌📌📌🔨🔨🔨
Nau ga mkono hoja...kuna wengine round Moja hutamani kurudia wengine mnara full time
 
Naomba msaada kwa hili Mimi napiga 1 kwa si chini ya dk 20 then Cha pili ni ishu nyingine zaidi ya saa zima au nisipige Ila muda wote 4G + inasoma hii inafanya nagombana na mademu nakumbuka last time nilipiga show from 7mchana to 5 usk nikapiga round 1 demu wa watu alienda mara 7 hanitaki tena na siitumii booster yoyote je Nina tatizo gani kiafya kutokana na hii hali?
 
Hizo ni kwa majobless ndugu. Umetoka asubuhi unarudi jion umechoka na kazi kesho tena kazini. Huo muda wa 6 au 7 unaupata wapi?
hapa hatuongelei majobless wala watumwa wa ngono mkuu ni watu hawahawa wa kawaida tena wenye mishe zao kibao.

kumbuka hapa unahitaji right mentality na mwenza sahihi tu.
 
Naomba msaada kwa hili Mimi napiga 1 kwa si chini ya dk 20 then Cha pili ni ishu nyingine zaidi ya saa zima au nisipige Ila muda wote 4G + inasoma hii inafanya nagombana na mademu nakumbuka last time nilipiga show from 7mchana to 5 usk nikapiga round 1 demu wa watu alienda mara 7 hanitaki tena na siitumii booster yoyote je Nina tatizo gani kiafya kutokana na hii hali?
Ukipiga nyeto inaweza leta changamoto ya namna hiyo, kichwa inakua ngumu kama msasa ,msisimko unakua mdogo kwa hiyo la kwanza unaweza tumia hata masaa mawili unaichapa tu.
 
Back
Top Bottom