Ukiona hauwezi kurudia round ya pili ujue tatizo ni hili

Ukiona hauwezi kurudia round ya pili ujue tatizo ni hili

Hizi story ndizo zinawafanya baadhi ya wanaume washindwe kujiamini kitandani
haya lazma yasemwe mkuu japo s'tyms ukweli huwa mchungu.

wanawake wengi sana wanaharibu uwezo wa wanaume wao bila kujua.

mwanamme asipochukua jitihada za nje ya uwanja ndo anaishia kujiona hawezi au hanithi kabisa
 
Nina watoto 12 na Bibi yenu, na kila mtoto ni round moja pekee ndiyo iliyotungisha mimba

Kazi ni kwenu Vijana

Round 5,6 zinakusubiri wakati huo huo unatakiwa kutenga muda wa kujiingizia kipato

Kama wallet zenu hazitakuwa na hela basi jiandaeni kuporwa hao mademu zenu na Wazee 🤗
 
Fanyeni yote,ila hakikisheni mnawapa hela..Sio mtu ana mawazo ya vikoba huko halafu unawaza kumshindilia bao zote hizo.

Ataona unamuumiza tu.
 
Sijawahi maliza sex zaidi ya dakika 9. Yani ndani ya dakika 9 huwa napiga style zaidi ya hizo 9 na hakuna demu aliyewahi kunilalamikia.

Huwa wakati wa kutomb nalia kama mbwa inanisaidia nifike dk 9. Nisipolia dk 3 tu chali
Teh teh 😃 😃 JF bhana....
 
Wataalam wanasema round ya kwanza inaamuliwa na MWANAMUME ila round zingine zooote zinazofuata zinaamuliwa na MWANAMKE.

Kwahiyo ukiona unaenda vizuri round ya kwanza lakini baada ya hapo hauwezi kuendelea au unakinai tendo basi ujue tatizo lipo kwa huyo baby wako.

Kama baby wako amenyooka vizuri utashangaa tu wewe mwenyewe umeshafika round ya 5 au 6 huko na bado mnara unasoma.

Take it or leave it📌📌📌🔨🔨🔨
Wanaelewaga basi hao kina "baby wako"?
 
Back
Top Bottom