Ukiona hivi ujue umeishiwa maongezi

Ukiona hivi ujue umeishiwa maongezi

Nilishawahi kipigiwa simu na mtu ambaye hana hoja tuliongea weeee! Tulipokaribia kumaliza kuongeza tukaanza kuagana kama hivi:-
MIMI: Basi freshi mkuu.
YEYE: Hamna Noma mshikaji.
MIMI: Ok.
YEYE: Usiku mwema.
MIMI: Na kwako pia.
YEYE: Na kwa familia yako.
MIMI: Kabisa.
YEYE: Ndo hivyo.
MIMI: Hivyoje.
YEYE: Hivyo.
.................

Tuliendelea kuagana mpaka dakika zake zilipoisha, duh... Ila watu wengine!
hahaha! unakuta hapo ana dakika hata 100 anaona zinakaribia kukata anapiga zisiende bure
 
afu yeye kaanza kukutafuta,mi hua nasema usiku mwema hatakama ni mchana, akisema nambie means umwambie lolote.
yeye(mwanamke): nambie
mimi: nikwambie nini
yeye: chochote tu
mimi: nipe nafasi kwenye moyo wako
yeye: hapana moyo wangu nishampa mwingine
mimi: basi niweke kichwani najua hamna kitu
 
Haha wakuu niseme tu JF ni hatari kuna pisi moja nilifukuzia akakataa nikakomaa nikaipata, naiomba game inaleta mambo ya tusubiri mpaka ndoa nikakubali ila niliposoma watu humu wamekula tunda tena wamekula wengine kimasihara nikasema usintanie wewe hahaha
...
nimetumia masaa mawili kumuimbisha mpaka akajaa akakubali dah ila JF wana MMU na Chitchat nyie noma
 
Back
Top Bottom