Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
uza nyumba yako utaona matokeoWhere is your research?
Where is your research siruza nyumba yako utaona matokeo
Hivi kumbe watu kama nyie mpo, mnaoishi kwa kujali likes? Yaani unadefine maisha Yako kwa kuangalia watu wangapi wanalike kile unachoandika?Ukitaka kujua watu wanakuchukulia vipi pindi umeishiwa au umefulia kabisa simu yako haipigiwi kama zamani, hata wale matapeli wa tuma namba hii nao wananyamaza.
Kwenye mitandao ya kijamii napo ukipost unaweza kukuta like chache tena za wasiokufahamu.
Kipimo cha maisha yako kwa sasa ni kidigitali.
nilipo kwambia "Kipimo cha maisha yako kwa sasa ni kidigitali."Hivi kumbe watu kama nyie mpo, mnaoishi kwa kujali likes? Yaani unadefine maisha Yako kwa kuangalia watu wangapi wanalike kile unachoandika?
Huu ni utoto. Maisha Yako ni Mali yako mwenyewe bila kujali wengine wanakuchukuliaje. Jitahidi tu kuwa 'a responsible citizen '.
Pole sana kijana. Toka huko kwenye maisha feki ya likes na status, Rudi kwenye maisha halisi.nilipo kwambia "Kipimo cha maisha yako kwa sasa ni kidigitali."
hivi leo unaweza kumtafuta mtu bila mawasiliano ukilinganisha na zamani
Usimpuuze mleta mada, vijana wenginsasa wamepotoka na kuacha maisha yaonyaendeshwe kwa nguvu ya mitazamo ya mitandaoni, ndio maananunaona wanakimbizana sana huko ma online kuliko wanavyokimbizana kwenye real life.Hivi kumbe watu kama nyie mpo, mnaoishi kwa kujali likes? Yaani unadefine maisha Yako kwa kuangalia watu wangapi wanalike kile unachoandika?
Huu ni utoto. Maisha Yako ni Mali yako mwenyewe bila kujali wengine wanakuchukuliaje. Jitahidi tu kuwa 'a responsible citizen '.