Ukiona hupigiwi simu, status huwekwi, huna likes kwenye mtandao ya kijamii ujue thamani yako imeisha

Ukiona hupigiwi simu, status huwekwi, huna likes kwenye mtandao ya kijamii ujue thamani yako imeisha

Kuhusu likes, kuwekwa status na coments kwenye sosho media sijali sana. Ila I am experiencing this currently simu yangu yangu haiiti kabisa yaani kabisa, imefika hatua mpaka nimesahau ringtone ya simu yangu, wacheni masihala jameni.
 
Hivi kumbe watu kama nyie mpo, mnaoishi kwa kujali likes? Yaani unadefine maisha Yako kwa kuangalia watu wangapi wanalike kile unachoandika?

Huu ni utoto. Maisha Yako ni Mali yako mwenyewe bila kujali wengine wanakuchukuliaje. Jitahidi tu kuwa 'a responsible citizen '.
Imagine kizazi cha namna hii! Hivi mtu anayetafuta likes maisha yake yakoje?! Uwekwe kwenye status ili iweje?!
 
Kuhusu likes, kuwekwa status na coments kwenye sosho media sijali sana. Ila I am experiencing this currently simu yangu yangu haiiti kabisa yaani kabisa, imefika hatua mpaka nimesahau ringtone ya simu yangu, wacheni masihala jameni.
Kwanini usiwapigie wewe?
 
Kwa hiyo siku hizi sio thamani ya X ni thamani ya like[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukitaka kujua watu wanakuchukulia vipi pindi umeishiwa au umefulia kabisa simu yako haipigiwi kama zamani, hata wale matapeli wa tuma namba hii nao wananyamaza.

Kwenye mitandao ya kijamii napo ukipost unaweza kukuta like chache tena za wasiokufahamu.

Kipimo cha maisha yako kwa sasa ni kidigitali.
Kukosa thamani kwa watu sio shida,provided Mungu wangu aliyeniumba bado ananithamini mimi kiumbe wake dhaifu na hivyo kuendelea kunizawadia Uhai,Afya na nguvu za kutafuta chapaa,ninafuraha tele.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Huwezi linganisha thamani ya mtu na mambo ya mitandao yakijamii.... umetumia IQ ndogo sanaa..
Coz mitandao ya ngono ndo inaongoza kuwa na wafuasi wengi na likes za kutosha huko. Je kwa apo utaseamaje?
uewelewa wako bado ni mdogo .mbona unamfatilia rafiki yako aliyopo nje ya nchi na kila analofanya na kujibu au kumpigia .angekuwa ana jipya ungemfatilia
 
Wapo watu wanajinyinga na wana followers million 10 na likes za kutosha maisha ya mitandaoni ni tofauti na uhalisia juzi tu hapa jaymelody alikuwa live analia mitandaoni anasema sometimes pesa na kuwa star haviwezi kukusaidia kwenye kila kitu hyo inaitwa PSYCHOLOGICAL SOCIAL PROOF .
 
Hivi kumbe watu kama nyie mpo, mnaoishi kwa kujali likes? Yaani unadefine maisha Yako kwa kuangalia watu wangapi wanalike kile unachoandika?

Huu ni utoto. Maisha Yako ni Mali yako mwenyewe bila kujali wengine wanakuchukuliaje. Jitahidi tu kuwa 'a responsible citizen '.
Yaani kuna watu mpaka wana umwa mimi nilibahatika kukaa na demu mmoja pale dodoma na baadhi ya washikaji yaani yule demu siku namkuta ana mawazo na hayupo sawa nikamuuliza kulikoni akasema ilikuwa birthday yake ila watu hawaja mpost wakati yeye ana wapost za kwao yaani hakuwa sawa na ametuma picha like chache na comment tokea siku hyo nikaacha mambo ya kuwa serious kwenye social platforms sipost nna mwaka wa 5 huu sijawahi post anything kwenye Facebook wala Instagram zaidi ya kubadilisha profile na nikaondoa notifications za birthday.

Na wale jamaa zangu ilikuwa wanaenda photo studio kupiga picha na mabegi walikuwa wakipost picha kama ina like ndogo na comment chache wana zifuta kwa hyo walinifunza vitu vingi sana kwenye social platforms nimebaki mtazamaji tu.
 
Ukitaka kujua watu wanakuchukulia vipi pindi umeishiwa au umefulia kabisa simu yako haipigiwi kama zamani, hata wale matapeli wa tuma namba hii nao wananyamaza.

Kwenye mitandao ya kijamii napo ukipost unaweza kukuta like chache tena za wasiokufahamu.

Kipimo cha maisha yako kwa sasa ni kidigitali.
NI vitu ambavyo binafsi silazimishi
 
Huwezi linganisha thamani ya mtu na mambo ya mitandao yakijamii.... umetumia IQ ndogo sanaa..
Coz mitandao ya ngono ndo inaongoza kuwa na wafuasi wengi na likes za kutosha huko. Je kwa apo utaseamaje?
kwani wasanii na doto magari kajijuaje kwa sasa
 
Back
Top Bottom