Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Sio kweli.Ukitaka kujua watu wanakuchukulia vipi pindi umeishiwa au umefulia kabisa simu yako haipigiwi kama zamani, hata wale matapeli wa tuma namba hii nao wananyamaza.
Kwenye mitandao ya kijamii napo ukipost unaweza kukuta like chache tena za wasiokufahamu.
Kipimo cha maisha yako kwa sasa ni kidigitali.
Hata Malaya wana likes nyingi na comments nyingi ila thamani Yao ndogo.
Utakuta mtu ana wadhifa wake bosi mkubwa tu ila ana followers wachache, akipost anapata likes chache.