Ukiona hupigiwi simu, status huwekwi, huna likes kwenye mtandao ya kijamii ujue thamani yako imeisha

Ukiona hupigiwi simu, status huwekwi, huna likes kwenye mtandao ya kijamii ujue thamani yako imeisha

Mradi nikipost Jamiiforums napewa likes na Lamomy basi inatosha.

Hata mjomba Extrovert naye ananipaga likes basi nanyevuka kweli.

Haleluyaah!
umeliona ilo.yani hapa wanao comment utaona wanashindwa kuelewa yani leo dotto magari uthamani wake wa biashara unaonekana na kidigitali na kila mtu anataka ajioneshe kwake ili uthamani wake upande.
walio jibu uzi huu utaona bado wapo gizani sana
 
Huwezi linganisha thamani ya mtu na mambo ya mitandao yakijamii.... umetumia IQ ndogo sanaa..
Coz mitandao ya ngono ndo inaongoza kuwa na wafuasi wengi na likes za kutosha huko. Je kwa apo utaseamaje?
uliyeletewa ili ufahamu bora kukaa kimya tu .hata tuzo na biashara kujulikanana zisingekuwepo kwa dunia ya sasa
 
naomba kuuliza watu wengi wana mkimbilia Malisa kuomba msaada wa matibabu na akichangisha mitandaoni mchango unakuja fasta .ujaona uthamani wake wana JF
 
Ukitaka kujua watu wanakuchukulia vipi pindi umeishiwa au umefulia kabisa simu yako haipigiwi kama zamani, hata wale matapeli wa tuma namba hii nao wananyamaza.

Kwenye mitandao ya kijamii napo ukipost unaweza kukuta like chache tena za wasiokufahamu.

Kipimo cha maisha yako kwa sasa ni kidigitali.

nchi ya hovyo ina vijana wa hovyo
 
Watu wa hivi ktk vikao vya harusi wanafaa sana,, wanakusanya michango balaa 😂
 
Ukitaka kujua watu wanakuchukulia vipi pindi umeishiwa au umefulia kabisa simu yako haipigiwi kama zamani, hata wale matapeli wa tuma namba hii nao wananyamaza.

Kwenye mitandao ya kijamii napo ukipost unaweza kukuta like chache tena za wasiokufahamu.

Kipimo cha maisha yako kwa sasa ni kidigitali.
Gen Z mna shida sana.
 
Back
Top Bottom