Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
- Thread starter
-
- #41
umefungua account ya youtube kwanzaHuwa nashindwa kuelewa kabisa watu wanao lilia likes kwenye mitandao ya kijamii. Kama wewe sio influencer na hauna biashara kwenye mitandao ya kijamii likes zinakusaidia nini??? unakuta mwingine ana count views za whatsapp, kweli social media zina create mazombi.
View: https://www.youtube.com/watch?v=HAgbIiQSzEk
View: https://www.youtube.com/watch?v=zKrd5K0eJOs
umeliona ilo.yani hapa wanao comment utaona wanashindwa kuelewa yani leo dotto magari uthamani wake wa biashara unaonekana na kidigitali na kila mtu anataka ajioneshe kwake ili uthamani wake upande.
uliyeletewa ili ufahamu bora kukaa kimya tu .hata tuzo na biashara kujulikanana zisingekuwepo kwa dunia ya sasaHuwezi linganisha thamani ya mtu na mambo ya mitandao yakijamii.... umetumia IQ ndogo sanaa..
Coz mitandao ya ngono ndo inaongoza kuwa na wafuasi wengi na likes za kutosha huko. Je kwa apo utaseamaje?
Ngoja nimpigie mwalimu anitafutie thamani ya ex akinipa jibu narudi πSasa ex nae ana thamani gani
Ukitaka kujua watu wanakuchukulia vipi pindi umeishiwa au umefulia kabisa simu yako haipigiwi kama zamani, hata wale matapeli wa tuma namba hii nao wananyamaza.
Kwenye mitandao ya kijamii napo ukipost unaweza kukuta like chache tena za wasiokufahamu.
Kipimo cha maisha yako kwa sasa ni kidigitali.
jieshimu mimi naanza maisha wewe ulikuwa umegawanyika sehemu mbili za siri kubwa kabisa ulikuwa kwenye suruali ya mzee wakonchi ya hovyo ina vijana wa hovyo
wa muulize malisa anayechangisha wagonjwa wa tanzania kuomba msaada wa matibabu buku jero tu .ni digitaliWatu wa hivi ktk vikao vya harusi wanafaa sana,, wanakusanya michango balaa π
Naomba jibu na mimi ukilipataNgoja nimpigie mwalimu anitafutie thamani ya ex akinipa jibu narudi π
In Biden's voicegrow up
Gen Z mna shida sana.Ukitaka kujua watu wanakuchukulia vipi pindi umeishiwa au umefulia kabisa simu yako haipigiwi kama zamani, hata wale matapeli wa tuma namba hii nao wananyamaza.
Kwenye mitandao ya kijamii napo ukipost unaweza kukuta like chache tena za wasiokufahamu.
Kipimo cha maisha yako kwa sasa ni kidigitali.