Ukitaka kujua watu wanakuchukulia vipi pindi umeishiwa au umefulia kabisa simu yako haipigiwi kama zamani, hata wale matapeli wa tuma namba hii nao wananyamaza.
Kwenye mitandao ya kijamii napo ukipost unaweza kukuta like chache tena za wasiokufahamu.
Kipimo cha maisha yako kwa sasa ni kidigitali.