Ukiona kiongozi ana mpambe/mtu/mlinzi nyuma yake, basi jua hayuko huru

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,653
Reaction score
31,010
Nimetafakari juu ya ulinzi binafsi wa viongozi wetu, hasa wabkitaifa.

Ukiona kiongonzi ana mpambe au mmlinzi au mtu yeyote nyuma yake, basi ujue hayuko huru.
Huyo ni mateka wa system ambao iko chini ya Idara Kuu ya Usalama..

Hao wapambe au walinzi, si tu wako gado kumlinda kiongozi, lakini chochote afanyacho kinaripotiwa Idara Kuu ya Usalama.

Tunajua ultimate responsibility ya vyombo vyote ni kwa Airi Jeshi Mkuu.
Hivyo viongozi wote ni kwa lugha rahisi, mateka wa Amiri Jeshi Mkuu.
Sijui nchi nyingine ikoje!
 
Viongozi wanaojitambua wanakataa ulinzi na magari ya serikali!
 
Hizo ni protokal zilizowekwa rasmi na mhusika hana budi kuzitii. Sio issue ya mtu binafsi kujipangia kuenenda anavyotaka.
Bwana samia aliwahi kusema misafara yake itakuwa na magari machache sana, lakini ukifuatilia utagundua hiyo kauli haijawahi kutekelezwa kikamilifu.
 
Nimetafakari juu ya ulinzi binafsi wa viongozi wetu, hasa wabkitaifa.

Ukiona kiongonzi ana mpambe au mmlinzi au mtu yeyote nyuma yake, basi ujue hayuko huru.
Huyo ni mateka wa system ambao iko chini ya Idara Kuu ya Usalama..

Hao wapambe au walinzi, si tu wako gado kumlinda kiongozi, lakini chochote afanyacho kinaripotiwa Idara Kuu ya Usalama.

Tunajua ultimate responsibility ya vyombo vyote ni kwa Airi Jeshi Mkuu.
Hivyo viongozi wote ni kwa lugha rahisi, mateka wa Amiri Jeshi Mkuu.
Sijui nchi nyingine ikoje!
Hata ukiingia TEETH jua basi roho yako umeiweka rehani ,yaani dakika moja ijayo tunakukuta kwenye mtaro.
 
Hizo ni protokal zilizowekwa rasmi na mhusika hana budi kuzitii. Sio issue ya mtu binafsi kujipangia kuenenda anavyotaka.
Bwana samia aliwahi kusema misafara yake itakuwa na magari machache sana, lakini ukifuatilia utagundua hiyo kauli haijawahi kutekelezwa kikamilifu.
Mkuu tushaona nchi nyingi tu... Pindi hali inapokuwa ya mashaka mashaka Kiongozi analazimika kuwa na security details wake na usafiri wake binafsi.
Yule Samia kuna kipi alishasema kikatekelezwa? Just be honest! Kuna namna waliomzunguka wanamjaza kwenye mifumo ili hela itoke!
 
Zote ni show off na control ya kumuweka mtu kati.
Nchi zilizoendelea zina ulinzi imara zsidi lakini huoni hizo phyisical sorroundings.
 
Point ni kwamba kiongozi hawezi kujipangia apewe ulinzi kiasi gani, ndio maana tuliona Bw Trump alisafirishwa kwenye kitoroli cha chakula na watu wake wa usalama. Huwez kuniambia ulikuwa utashi wa Trump kusafirishwa kwenye kitoroli.
 
Mkuu tushaona nchi nyingi tu... Pindi hali inapokuwa ya mashaka mashaka Kiongozi analazimika kuwa na security details wake na usafiri wake binafsi.
Yule Samia kuna kipi alishasema kikatekelezwa? Just be honest! Kuna namna waliomzunguka wanamjaza kwenye mifumo ili hela itoke!
Naungana na wewe
Wanaomzunguka wana take advantage ya uoga wake kumkamua pesa.
 
Hizo ni protokal zilizowekwa rasmi na mhusika hana budi kuzitii. Sio issue ya mtu binafsi kujipangia kuenenda anavyotaka.
Bwana samia aliwahi kusema misafara yake itakuwa na magari machache sana, lakini ukifuatilia utagundua hiyo kauli haijawahi kutekelezwa kikamilifu.
Protocal zimewekwa na nani? Mbona haziwekwi protocal za kuzuia ufisadi na wakazitii? Acha kuleta mambo ya kijiweni hapa. Viongozi wa nchi wana ''say'' kubwa sana kwenye aina ya ulinzi wanaotaka.
 
Ndiyo maana wapenda haki wanataka katiba mpya ambayo haiwezi kumfanya rais kufanya atakavyo.Katiba ya sasa rais anaweza kuamka na kuagiza vyombo kuwa kiongozi fulani simtaki nataka apotezwe kama alivyopotezwa hamphrey polepole na sasa nchimbi na hakuna wa kumkatalia
 
Hizo ni protokal zilizowekwa rasmi na mhusika hana budi kuzitii. Sio issue ya mtu binafsi kujipangia kuenenda anavyotaka.
Bwana samia aliwahi kusema misafara yake itakuwa na magari machache sana, lakini ukifuatilia utagundua hiyo kauli haijawahi kutekelezwa kikamilifu.
Obama aliwahi kusema atalifunga gereza la kuantanamo lakini mpaka leo bado lipo na linapiga kazi kama kawaida.
 
Mkuu tushaona nchi nyingi tu... Pindi hali inapokuwa ya mashaka mashaka Kiongozi analazimika kuwa na security details wake na usafiri wake binafsi.
Yule Samia kuna kipi alishasema kikatekelezwa? Just be honest! Kuna namna waliomzunguka wanamjaza kwenye mifumo ili hela itoke!
Kila taasisi ya serikali haiwezi kukosa wazalendo wa kweli na watu wengi (sio wote) wa hovyo.
 
Back
Top Bottom