Ukiona kiongozi ana mpambe/mtu/mlinzi nyuma yake, basi jua hayuko huru

Ukiona kiongozi ana mpambe/mtu/mlinzi nyuma yake, basi jua hayuko huru

Stories za vijiwe vya kahawa hizi. Uliwahi kuwaona wapi hao TEETH??
Sijawahi kuwaona mkuu maana hawana ofisi ardhini ,wanafanyia kazi zao angani na wanaishi huko huko hewani ,yale majengo yao pale Eagle Wing (Dstv) , Posta mkabala na Long Room(TRA) , Makumbusho na Malindi Mbweni pale hakuna watu ni majini tu ndiyo wapo na hawaonekani kwa macho ya kawaida.
 
Unaweza ukamuona ila kamwe hauwezi ukamtambua kama haukupewa hiyo elimu ya utambuzi wa watu na mazingira. Mbona ni sehemu ya familia zetu na tunawasiliana nao kila siku mitaani ila kuwatambua ndio kasheshe. It's very very impossible.
 
ni mjinga tu anaweza kuichukulia kauli ya mwanasiasa serious na kuiamini kama ilivyo.
kauli yoyote ya mwanasiasa lazima usikilize na kuichukua kwa tahadhali.
Kauli za wanasiasa huwa zinalenga kumfurahisha anayempa mkate wake!
 
Siyo ku-take advantage. Ukishakuwa kiongozi wa state unakuwa the property of the same. The issue is which state?
Viongozi wengi wanaonekana wanaishi kifahari lakini huwa ni wapweke sana.
Wako chini ya ulinzi 24/7, kila anayekuja nyumbani kumwona au ofisini anakuwa recorded.
 
Back
Top Bottom