Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Viongozi wanaojitambua wanakataa ulinzi na magari ya serikali!Nimetafakari juu ya ulinzi binafsi wa viongozi wetu, hasa wabkitaifa.
Ukiona kiongonzi ana mpambe au mmlinzi au mtu yeyote nyuma yake, basi ujue hayuko huru.
Huyo ni mateka wa system ambao iko chini ya Idara Kuu ya Usalama..
Hao wapambe au walinzi, si tu wako gado kumlinda kiongozi, lakini chochote afanyacho kinaripotiwa Idara Kuu ya Usalama.
Tunajua ultimate responsibility ya vyombo vyote ni kwa Airi Jeshi Mkuu.
Hivyo viongozi wote ni kwa lugha rahisi, mateka wa Amiri Jeshi Mkuu.
Sijui nchi nyingine ikoje!
Hizo ni protokal zilizowekwa rasmi na mhusika hana budi kuzitii. Sio issue ya mtu binafsi kujipangia kuenenda anavyotaka.Viongozi wanaojitambua wanakataa ulinzi na magari ya serikali!
Hata ukiingia TEETH jua basi roho yako umeiweka rehani ,yaani dakika moja ijayo tunakukuta kwenye mtaro.Nimetafakari juu ya ulinzi binafsi wa viongozi wetu, hasa wabkitaifa.
Ukiona kiongonzi ana mpambe au mmlinzi au mtu yeyote nyuma yake, basi ujue hayuko huru.
Huyo ni mateka wa system ambao iko chini ya Idara Kuu ya Usalama..
Hao wapambe au walinzi, si tu wako gado kumlinda kiongozi, lakini chochote afanyacho kinaripotiwa Idara Kuu ya Usalama.
Tunajua ultimate responsibility ya vyombo vyote ni kwa Airi Jeshi Mkuu.
Hivyo viongozi wote ni kwa lugha rahisi, mateka wa Amiri Jeshi Mkuu.
Sijui nchi nyingine ikoje!
Hao wajinga wanatoana sana roho. Sijui kwanini wapo hivyo.Hata ukiingia TEETH jua basi roho yako umeiweka rehani ,yaani dakika moja ijayo tunakukuta kwenye mtaro.
Mkuu tushaona nchi nyingi tu... Pindi hali inapokuwa ya mashaka mashaka Kiongozi analazimika kuwa na security details wake na usafiri wake binafsi.Hizo ni protokal zilizowekwa rasmi na mhusika hana budi kuzitii. Sio issue ya mtu binafsi kujipangia kuenenda anavyotaka.
Bwana samia aliwahi kusema misafara yake itakuwa na magari machache sana, lakini ukifuatilia utagundua hiyo kauli haijawahi kutekelezwa kikamilifu.
Zote ni show off na control ya kumuweka mtu kati.Hizo ni protokal zilizowekwa rasmi na mhusika hana budi kuzitii. Sio issue ya mtu binafsi kujipangia kuenenda anavyotaka.
Bwana samia aliwahi kusema misafara yake itakuwa na magari machache sana, lakini ukifuatilia utagundua hiyo kauli haijawahi kutekelezwa kikamilifu.
Tupe mfano!Viongozi wanaojitambua wanakataa ulinzi na magari ya serikali!
Point ni kwamba kiongozi hawezi kujipangia apewe ulinzi kiasi gani, ndio maana tuliona Bw Trump alisafirishwa kwenye kitoroli cha chakula na watu wake wa usalama. Huwez kuniambia ulikuwa utashi wa Trump kusafirishwa kwenye kitoroli.Zote ni show off na control ya kumuweka mtu kati.
Nchi zilizoendelea zina ulinzi imara zsidi lakini huoni hizo phyisical sorroundings.
Naungana na weweMkuu tushaona nchi nyingi tu... Pindi hali inapokuwa ya mashaka mashaka Kiongozi analazimika kuwa na security details wake na usafiri wake binafsi.
Yule Samia kuna kipi alishasema kikatekelezwa? Just be honest! Kuna namna waliomzunguka wanamjaza kwenye mifumo ili hela itoke!
Protocal zimewekwa na nani? Mbona haziwekwi protocal za kuzuia ufisadi na wakazitii? Acha kuleta mambo ya kijiweni hapa. Viongozi wa nchi wana ''say'' kubwa sana kwenye aina ya ulinzi wanaotaka.Hizo ni protokal zilizowekwa rasmi na mhusika hana budi kuzitii. Sio issue ya mtu binafsi kujipangia kuenenda anavyotaka.
Bwana samia aliwahi kusema misafara yake itakuwa na magari machache sana, lakini ukifuatilia utagundua hiyo kauli haijawahi kutekelezwa kikamilifu.
SawaProtocal zimewekwa na nani? Mbona haziwekwi protocal za kuzuia ufisadi na wakazitii? Acha kuleta mambo ya kijiweni hapa. Viongozi wa nchi wana ''say'' kubwa sana kwenye aina ya ulinzi wanaotaka.
Hatari ,wakiona unaweza kupigisha shoti wanakutanguliza ,wanakupa mission ,ukiikamilisha wanakula kichwa.Hao wajinga wanatoana sana roho. Sijui kwanini wapo hivyo.
Kiongozi wa serikali analikataa gari la serikali pamoja na ulinzi?? Gari binafsi ni kwa shughuli binafsi.Viongozi wanaojitambua wanakataa ulinzi na magari ya serikali!
Obama aliwahi kusema atalifunga gereza la kuantanamo lakini mpaka leo bado lipo na linapiga kazi kama kawaida.Hizo ni protokal zilizowekwa rasmi na mhusika hana budi kuzitii. Sio issue ya mtu binafsi kujipangia kuenenda anavyotaka.
Bwana samia aliwahi kusema misafara yake itakuwa na magari machache sana, lakini ukifuatilia utagundua hiyo kauli haijawahi kutekelezwa kikamilifu.
Stories za vijiwe vya kahawa hizi. Uliwahi kuwaona wapi hao TEETH??Hata ukiingia TEETH jua basi roho yako umeiweka rehani ,yaani dakika moja ijayo tunakukuta kwenye mtaro.
Stories za vijiwe tu hizo mkuu wangu.Hao wajinga wanatoana sana roho. Sijui kwanini wapo hivyo.
Kila taasisi ya serikali haiwezi kukosa wazalendo wa kweli na watu wengi (sio wote) wa hovyo.Mkuu tushaona nchi nyingi tu... Pindi hali inapokuwa ya mashaka mashaka Kiongozi analazimika kuwa na security details wake na usafiri wake binafsi.
Yule Samia kuna kipi alishasema kikatekelezwa? Just be honest! Kuna namna waliomzunguka wanamjaza kwenye mifumo ili hela itoke!