King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Sijawahi kuwaona mkuu maana hawana ofisi ardhini ,wanafanyia kazi zao angani na wanaishi huko huko hewani ,yale majengo yao pale Eagle Wing (Dstv) , Posta mkabala na Long Room(TRA) , Makumbusho na Malindi Mbweni pale hakuna watu ni majini tu ndiyo wapo na hawaonekani kwa macho ya kawaida.Stories za vijiwe vya kahawa hizi. Uliwahi kuwaona wapi hao TEETH??
Unaweza ukamuona ila kamwe hauwezi ukamtambua kama haukupewa hiyo elimu ya utambuzi wa watu na mazingira. Mbona ni sehemu ya familia zetu na tunawasiliana nao kila siku mitaani ila kuwatambua ndio kasheshe. It's very very impossible.Sijawahi kuwaona mkuu maana hawana ofisi ardhini ,wanafanyia kazi zao angani na wanaishi huko huko hewani ,yale majengo yao pale Eagle Wing (Dstv) , Posta mkabala na Long Room(TRA) , Makumbusho na Malindi Mbweni pale hakuna watu ni majini tu ndiyo wapo na hawaonekani kwa macho ya kawaida.
Sawa mkuu.Unaweza ukamuona ila kamwe hauwezi ukamtambua kama haukupewa hiyo elimu ya utambuzi wa watu na mazingira. Mbona ni sehemu ya familia zetu na tunawasiliana nao kila siku mitaani ila kuwatambua ndio kasheshe. It's very very impossible.
Mimi huwa sikai vijiweni labda hii Jf ndio iwe kijiwe changu.Stories za vijiwe tu hizo mkuu wangu.
ni mjinga tu anaweza kuichukulia kauli ya mwanasiasa serious na kuiamini kama ilivyo.Obama aliwahi kusema atalifunga gereza la kuantanamo
Kauli za wanasiasa huwa zinalenga kumfurahisha anayempa mkate wake!ni mjinga tu anaweza kuichukulia kauli ya mwanasiasa serious na kuiamini kama ilivyo.
kauli yoyote ya mwanasiasa lazima usikilize na kuichukua kwa tahadhali.
Mbona umeni-quote nusu mkuu wangu??ni mjinga tu anaweza kuichukulia kauli ya mwanasiasa serious na kuiamini kama ilivyo.
kauli yoyote ya mwanasiasa lazima usikilize na kuichukua kwa tahadhali.
Siyo ku-take advantage. Ukishakuwa kiongozi wa state unakuwa the property of the same. The issue is which state?Naungana na wewe
Wanaomzunguka wana take advantage ya uoga wake kumkamua pesa.
Viongozi wengi wanaonekana wanaishi kifahari lakini huwa ni wapweke sana.Siyo ku-take advantage. Ukishakuwa kiongozi wa state unakuwa the property of the same. The issue is which state?