Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,530
- 1,903
Jamani napata shida sana,kusikia Mbowe anasema yeye ndio amekijenga CHAMA, eti kwa fedha, mawazo,nk, nijuacho mm kiongozi mzuri na mwenye hekima hawezi kusema yeye ndio umekikuza CHAMA na kukijenga
CHAMA ni tasisi, ambayo inajengwa na watu mbalilmbali ndani ya nchi na nje, watu wanatoa michango ya kifedha, kimbinu, mawazo, ushauli wanaweza kuwa wanachama au sio wanachama cha chadema, wapenda mabadiliko, wanaharakati, wanasiasa, wasio na CHAMA nk,
Mfano chadema kuanzia mwaka 2015 kuna wanachama wengi wamekufa ,wametekwa, wamefungwa magerezani mpaka leo wapo huko, wamepoteza kaz zao, wamefilisiwa kiuchumi, wamepotea, wamekuwa vilema, wamekimbia nchi, ndoa zao zimevunjika,wametengwa na familia zao, mfano nzuri wakina hazole, soka, sativa, mzee kibao, roma, Lema,sugu, mdude ,wenje, list ni ndefu sana tena sanaaaa huyu lisu anatembea na risasi mwilini mwake kwa ssb ya kukipigania CHAMA cha chadema. Jamani mbowe haupaswi kusema wewe ndio uliekipigania CHAMA hivyo unahati miliki ya chadema .sio kweli utakuwa unakose sana.tena sanaaa
Chadema ni CHAMA cha watanzania wote, wote wanamchango mkubwa sana katika kukijenga na kukikuza CHAMA hicho. Kama busara na hekima ukusaidie kujua kuwa wanachadema na watanzania wameamua kuwa sasa ukae pembeni, ingawa na wewe ni miongoni mwa watu WALIO toa michango mkubwa,lakin hii haimanishi kuwa wewe ndio mmiliki wa CHADEMA ACHA EGOISM. ni zamu ya dereva mwingine ambae ni Tundu lisu kuendesha hili gari muhimu sana kuelekea kuikomboa Tanzania ktk mikono ya mafisadi, na machawa. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.