Ukiona kiongozi anajisifia mwenyewe,kuwa yeye ndio amekijenga CHADEMA kuliko wengine atakuwa anashida fulani.

Ukiona kiongozi anajisifia mwenyewe,kuwa yeye ndio amekijenga CHADEMA kuliko wengine atakuwa anashida fulani.

Kweli siasa mchezo mchafu ! Hivi kweli huyu Lissu wakutoka na kuanza kusemasema ovyo na vibaya kumhusu mwenyekiti wake ALIEJITAHIDI KUOKOA MAISHA YAKE ! Huyu Lissu huyu ! Kweli binadamu hawana shukrani !
Yote ni tamaa tu ya madaraka na mali ! Sasa Mbowe muonyeshe kazi huyo Mnyampaa ! Mwambie kama uliweza kumpeleka Nairobi akiwa mahtuti mkiwa na mpagazi akiwa ameshikilia zile chupa basi wewe ndiyo muongoza njia na yeye na wengine woote watafuata !
Mbowe anatakiwa aachane na uenyekiti, kwa miaka raidi ya 20 aliyohudumu kwenye nafasi hiyo inatosha.
Awapishe na wenzake waendeleze kijiti.
Kupingana na ukweli ni kujichimbia anguko yeye mwenyewe.
Heshima aliyoijenga kwa miaka mingi ataipoteza na kuonekana mroho wa madaraka na dikteta
 
Back
Top Bottom