Kweli siasa mchezo mchafu ! Hivi kweli huyu Lissu wakutoka na kuanza kusemasema ovyo na vibaya kumhusu mwenyekiti wake ALIEJITAHIDI KUOKOA MAISHA YAKE ! Huyu Lissu huyu ! Kweli binadamu hawana shukrani !
Yote ni tamaa tu ya madaraka na mali ! Sasa Mbowe muonyeshe kazi huyo Mnyampaa ! Mwambie kama uliweza kumpeleka Nairobi akiwa mahtuti mkiwa na mpagazi akiwa ameshikilia zile chupa basi wewe ndiyo muongoza njia na yeye na wengine woote watafuata !