Ukiona kuna Nafasi ya Uteuzi iko wazi na anafutwa Mtu halafu kisha akajadiliwa mno JamiiForums jua kwa 100% hapati tena

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kabla ya Kukurupuka kuja Kubishana nami juu ya hiki nilichokisema tuliza Kwanza Akili yako, fanya Utafiti wako hapa JamiiForums na nina uhakika mwishoni utakubaliana nami 100%

Na mara nyingi hii huwa ni Strategy ya System na Wasaga Kunguni ( Watu wasiopenda na kukupenda ) katika kutaka kujua ya Ndani zaidi yaliyojificha Kukuhusu na ambayo huenda Wao hawajafahamu au kutaka Taarifa zako hizo za Wanaokujua zaidi au Wabaya wako ( Maadui zako ) zimfikie kwa Kina Mteuwaji Mkuu.

Najua kuwa kuna wengine kweli kwa Kutajwa Kwao hapa JamiiForums huwa kunasasaidia na kupata Uteuzi ila kwa 90% huwa inawaharibia na kukosa Uteuzi huo.
 
Ni kweli, inaonekana watendaji serikalini huwa wanadai kufuatilia huu mtandao kwa mengi, japo sisi humu ndani huwa tunashangilia ufuatiliaji wao kumbe wakati mwingine wenzetu huwa na yao kichwani.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Ni mojawapo ya mbinu za kufanya vetting.

Ukiweka jina la mtu humu potential candidate.......wataweka mpaka mademu zake wa zamoni.

Kama mtu ni mwema au mbaya utajua tu
 
99.999% ya Watendaji wa SSIT na hata Boss wao Mkuu Kikatiba na Kiuteuzi huutegemea huu Mtandao na huwa tupo nao hapa JamiiForums 24/7.
 
Ni mojawapo ya mbinu za kufanya vetting.

Ukiweka jina la mtu humu potential candidate.......wataweka mpaka mademu zake wa zamoni.

Kama mtu ni mwema au mbaya utajua tu
Ni lini pia mtajijadili na Mimi Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kisungura ( GENTAMYCINE ) kwani muda wowote Mama anataka Kuniteua nimsaidie mahala.
 
Kikeke alitajwa tajwa sana kwenye uteuzi fulani, jamaa akaukosa
Na nasikia kuna Member Mmoja hapa JamiiForums ( kwa sasa nimemsahau Jina ) alimsakama sana kwa Threads kadhaa na Kweli akakosa / akaukosa.
 
Mayala ni muda tuu nilipeleka wakasema niwe na subira alipoanza uchawa sipokeag simu zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…