GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kabla ya Kukurupuka kuja Kubishana nami juu ya hiki nilichokisema tuliza Kwanza Akili yako, fanya Utafiti wako hapa JamiiForums na nina uhakika mwishoni utakubaliana nami 100%
Na mara nyingi hii huwa ni Strategy ya System na Wasaga Kunguni ( Watu wasiopenda na kukupenda ) katika kutaka kujua ya Ndani zaidi yaliyojificha Kukuhusu na ambayo huenda Wao hawajafahamu au kutaka Taarifa zako hizo za Wanaokujua zaidi au Wabaya wako ( Maadui zako ) zimfikie kwa Kina Mteuwaji Mkuu.
Najua kuwa kuna wengine kweli kwa Kutajwa Kwao hapa JamiiForums huwa kunasasaidia na kupata Uteuzi ila kwa 90% huwa inawaharibia na kukosa Uteuzi huo.