Ukiona maisha yako ni magumu basi jua kuwa kuna Mtu amekuchezea (amekuroga)

Hapo nimekusoma ukweli kabisa huo
 
Bila kupepesa macho naunga mkono hojaaa asilimia mia mia moja coz hata mimi ni muhanga na yalinikuta hayo na waganga kadhaa walikuwa wanashindwa kuniagua mpk nilipompata mzee mkinga bwana weeeee siku hiyo hiyo nilikuja kuitwa kwenye mchongo nikaingiza laki tano wakati kabla ya hapo nilikuwa sijaliwi na mtu yeyote kila mtu alikuwa akiniona kama mavi tu mtalaam aliniambia nilifungwa vibaya mbo kiasi ambacho nilikuwa nasuburia kufa tu na baada ya hapo ni mwendo wa kushika ela tu ingawa kunavijikwazo huwa vinajitokeza lkn namtafuta mtaalam tunayamaliza.

Nb.wabaya watu mkuuu
 
Sasa si ndio uchawi wenyewe huo. Mtu anaamua tu kuwaroga watumishi wa umma. Mtu anajisikia tu asikuongezee mshahara.
Katika kila jambo jua nyuma yake kuna jambo limejificha.
How come 5 yrs with no salary increment?
Halafu anajisifu kuwa yeye ni kiongozi wa malaika.
 
Hivi nyongeza ya Tsh 10,000/ inaweza kukutoa stage gani ki maisha?
haujui umuhimu wa increament. Kwa taarifa yako annual increament ina mchango mkubwa ktk kupata mikopo mizuri benki; hiyo elfu kumi unayoidharau ukizisha kwa miezi sitini aliyotuzulumu plus other annual increament kwa miaka mingine ni pesa nyingi sana.
 
Yes. Kwa unafiki Tanzania nadhani iko kwenye top one duniani.

Mtu dukani kaweka majini then hapohapo anapiga nyimbo za kuabudu na anapost Fb Mungu ni tegemeo lake
 
Yes. Kwa unsfiki Tanzania nadhani iko kwenye top one duniani.
Mtu dukani kaweka majini then hapohapo anapiga nyimbo za kuabudu na anapost Fb Mungu ni tegemeo lake

Wivu uzaa roho mbaya na roho mbaya utengeza husda. Husda inataka haki uchukua ushirikina kutafuta suluhuu.
 
Nakupinga asee, inamaana mtu afungue biashara bila kufanya tathmini?

Hata Kama Kodi ni kubwa sidhani hiyo ndio sababu.

Kwa niliyoshuhudia katika maisha yangu, acha Kwanza niungane na ndugu yako kuwa amelogwa.
 
Mkuu niunganishe na huyo fundi
 
Nakupinga asee, inamaana mtu afungue biashara bila kufanya tathmini?

Hata Kama Kodi ni kubwa sidhani hiyo ndio sababu.

Kwa niliyoshuhudia katika maisha yangu, acha Kwanza niungane na ndugu yako kuwa amelogwa.
Hivi wewe ufungue duka frem unalipa laki sita kwa mwezi, usafi 20,000, mlinzi 40,000 hujaweka ela yako ya kula na nauli halafu mwezi mzima uuze milion 2 unadhani hutofunga hiyo biashara, maana hayo ni mauzo tu siyo faida.

Watu wengi tunafail wenyewe halafu tunasingizia wachawi. Mimi ni mmoja ya watu ambaye niliwahi kuwa juu nikaanguka, nikawa juu tena nikaaanguka, nikapanda tena. Na mara zote japo huyo ndugu yangu alikwua ananiambia kuna watu wananichezea ila mimi nikikaa nilikuwa naona kabisa makosa niliyokuwa ninafanya hata sikurogwa. Na naposema kuanguka namaanisha kuanguka ukawa hujui hata unakula nini huelewi A wala C wakati ulikuwa pocket money unatembea si chini ya milion kwenye gari.

Mara nyingi ni failures zetu wenyewe ndizo zinatufanya tusisonge. Kama kurogwa basi waliorogwa nadhani ni wachache kuliko kufail kwa kukosa connection, juhudi, mipango, na uthubutu.
 
Hicho ulichokiongea sikukatalii kina ukweli hasa kwa staili ya biashara alivyoanza huyo rafiki yako ni lazima angefeli kwa sababu hakufuata kanuni.

Lakini kuna wakati mwingine mtu anafuata kanuni zote na bado hatoboi yaani anahangaika kila mahali na anafanya connections zote lkn maisha bado ni magumu hapo ndipo uchawi mahali ulipotumika
 
Mkuu sorry huyo mkinga ulimpata wapi?
 
Mmnh ebu fanya connection
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…