Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hili ni jamvi la maswahiba tunaambiana uhalisia kupitia yale tuliyoyaandika, huyo jamaa umemuadress kama rafiki yako but still hakupokea ushauri wako hiyo pekee kwa wakat ule ilitosha kukudhihirishia kuwa bond ya urafiki wenu ni weak kinachonishangaza ni hiki ni kwann ulitake time kuiscout biashara yake kuanzia commencing mpaka depression kiintelijensia tunapata hayaInawezekana pia, mimi ni nani nipingane na mtazamo wako?
Siyo rafiki yangu ni ndugu yangu wa damu same mother same father, shida yake shida yangu majanga yake majanga yangu. Failure zake zina diect impact kwangu. Na hata hiyo biashara mzigo wake wa kwanza nilimuagizia mimi na connection nikampa mimi japo mimi sikuwa nafanya biashara hiyo so there is no way tukawa rivals. Ila undugu wa damu ndiyo chanzo cha kujua success zake na failures zake.Mkuu hili ni jamvi la maswahiba tunaambiana uhalisia kupitia yale tuliyoyaandika, huyo jamaa umemuadress kama rafiki yako but still hakupokea ushauri wako hiyo pekee kwa wakat ule ilitosha kukudhihirishia kuwa bond ya urafiki wenu ni weak kinachonishangaza ni hiki ni kwann ulitake time kuiscout biashara yake kuanzia commencing mpaka depression kiintelijensia tunapata haya
1: hukuwa busy na mipango yako ndo maana ukapata muda wa kuwa na taarifa sahihi juu ya biashara yake,
2: Ni kipi kilichokuvutia mpaka ukawa karibu na biashara yake na wakati huna hisa ndani yake jibu jepesi laweza kuwa hukutaka ipite hiv hiv hadi uone anavyodepress na hiyo kwako kuwa kama climax ya faraja yako.
3: Wakati ule inawezekana hukuwa na uwezo zaidi yake ama biashara kubwa zaidi ya aliyoifungua yeye maana yangu ni hii hapa ungekuwa na biashara yenye faida lets say milioni 1.5 kwa mwez usingeifuatilia yake inayoingiza laki sita kama faida, so ulimwona kama your main Idol and at the same time as a rival, ndio maana unafeel free kumwelezea kama adui yako mwingine tu but addressing him or as a friend.
Mkuuu...unahangaika Nini na unafiki was watu....wewe mganga kakusaidia..Basi endelea na njia yako...nawe ulivyopata hiyi KAZi usikute ulisema Asante yesu.Watanzania ni wanafiki sana. Wengi wanakwenda kwa waganga lakini hapa wanaandika hakuna uchawi au mtegemee Mungu wako.
Kuna wanaonasa kaka wa watu kwa uchawi mpaka wanaolewa. Lakini siku ya send off wanasema asante Yesu, like fuvu la kondoo aliloliacha pangoni au kwenye kaburi la mtoto mchanga halitaji.
Pamoja sana mkuu nimekubali,nimekubali Nafaka keep going but nitarudi mara nyingine, sitarely kwenye post yako, nitakuja kukuattack personally na hoja zako ndio zitakuweka huruSiyo rafiki yangu ni ndugu yangu wa damu same mother same father, shida yake shida yangu majanga yake majanga yangu. Failure zake zina diect impact kwangu. Na hata hiyo biashara mzigo wake wa kwanza nilimuagizia mimi na connection nikampa mimi japo mimi sikuwa nafanya biashara hiyo so there is no way tukawa rivals. Ila undugu wa damu ndiyo chanzo cha kujua success zake na failures zake.
Sinawasemaga serikali Ni watu na watu ndo sisi...[emoji1]Hivi serikari nayo inaweza kuwa inawaroga wananchi wake