Ukiona maisha yako ni magumu basi jua kuwa kuna Mtu amekuchezea (amekuroga)

Unataka kutuaminisha kuwa maccm wametukalia vibaya!
 
Yaan Wanadamu ni watu wa ajabu Sana mtu unaenda kanisani au msikitini lakni hao hao ndio wanaamini Waganga kama Mungu wao ila nionavyo Mimi Shetani atakuwa bora kuliko sisi wanafiki mchana kwa Mungu usiku Kwa Waganga ila yeye alizingua kabisa akafukuzwa mbinguni hakuwa manafiki
 
Sasa si ndio uchawi wenyewe huo. Mtu anaamua tu kuwaroga watumishi wa umma. Mtu anajisikia tu asikuongezee mshahara.
Katika kila jambo jua nyuma yake kuna jambo limejificha.

How come 5 yrs with no salary increment?
[emoji16]
 
Nimekusoma sana mleta mada. Kuna washenzi walinifunga, nilikwenda interview 5 zote ninapigwa chini kazi niliyosomea. Shost alinipeleka kwa mtaalamu, baada ya shughuli tu, nilipass interview.
[emoji16][emoji16]
 
Noted
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] woiiii
 
Aisee[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Yes. Kwa unsfiki Tanzania nadhani iko kwenye top one duniani.

Mtu dukani kaweka majini then hapohapo anapiga nyimbo za kuabudu na anapost Fb Mungu ni tegemeo lake
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mbavu zangu
 
Hakuna uchawi uchawi ni aina ya uzembe utokanao na uwezo mdogo wa kufikiri, kurogwa ni uzembe mkubwa unao ishi kwenye vichwa vya wajinga wachache. Ukweli ni kwamba uchawi haupo
 
Kiukweli omba yasikukute Tena ukiwa na familia Yan baba wa watoto kadhaa na Shule kila mtoto unalipa zaid ya1m aisee kila mtu, kila kitu, kila pahala utakapopita Yan unakuwa umeoza vibaya.

MUNGU yupo na anafanya kazi Ila anachelewa kujibu maombi japo tunaamini ukifika wakati sahihi anatenda muujiza.

Upande wa Pili wa Giza ni muhimu aisee kwani vyote vimeumbwa na vimeletwa na MUNGU mwenyewe shida ni kuvitumia vibaya.
 
Mkuu kwa jins ulivyoelezea hiki kisa inanipelekea kuanza kuamin kuwa wew ndio ulimroga huyo jamaa maana kuna sumsort of blackshitts ndan ya storytelling yako, hahahahaaaa!!!!
 
Hakuna uchawi uchawi ni aina ya uzembe utokanao na uwezo mdogo wa kufikiri, kurogwa ni uzembe mkubwa unao ishi kwenye vichwa vya wajinga wachache. Ukweli ni kwamba uchawi haupo
Ngoja ulishwe kipande cha nyama kibichi, kinachowekwa ukeni usiku kwa siku saba, ndo utaleta thread yako unayoijua mwenyewe.
 
Yes. Kwa unafiki Tanzania nadhani iko kwenye top one duniani.

Mtu dukani kaweka majini then hapohapo anapiga nyimbo za kuabudu na anapost Fb Mungu ni tegemeo lake
Hahahahaha hii ndio bongo aisee
 
Mkuu kwa jins ulivyoelezea hiki kisa inanipelekea kuanza kuamin kuwa wew ndio ulimroga huyo jamaa maana kuna sumsort of blackshitts ndan ya storytelling yako, hahahahaaaa!!!!
Inawezekana pia, mimi ni nani nipingane na mtazamo wako?
 
Ukiishi kwa kumhofu MUNGU huwezi kurogwa!!
 
Ukiona unarogwa jua huna MUNGU ndani yako!!
 
Pia mahandiko yanasema aonavyomtu nafsini mwake ndivyo ilivyo akirivyomtu ndivyo ilivyo ukiamini umerogwa utarogwa kweli ata Kama awakua na mpango wa kuku roga au ujiroge na maneno yako mwenyewe achana na izo Imani kila kitu ni imani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…