Ukiona Mdada anakusalimia basi jiandae kwa haya yafuatayo

Hayo ndio matokeo ya kuwa a NICE GUY mnapitia msoto sana wakuu. Ila ukiona mwanamke yuko hivyo jua kuna namna huyo mwanamke anakudharau au anakuchukulia oya oya!

Haya ni muendelezo wa matatizo yanayoletwa na kumfanya mwanamke aone kama unahitaji sana uwepo wake kwako. So anakutumia kwa maslahi yake binafsi, wewe unakuwa ni wale zimamoto akikutwa na majanga.
 
Hata mademu wengi wanakutafuta kwenye simu na kujidai wametumiss lengo lao ni kuomba hela.
Pumbavu wewe nice utaula wa chuya.
Ahahah kwakwel kwasis wahangaikaji moja ya ushauri muhim sana kuuzingatia ni huu, mind your own buznes always, kaa mbali kabisa na hiv viumbe, utakua na aman ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Ukizipata ndio kaa nao mbali kabisaaaaa, utatumia pesa zako kwa utulivu na amani zaid
 
Kweli hatutakiwi kuvi-entertain kabisa.
 
NAKAZIA ๐Ÿ”จ
 
Moja ya matumizi ya pesa ni kuwa na demu mkali pembeni we falla wangu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ukiona neno dear hahaha mwoyo lazima uende mbioโ€ฆ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ