Ukiona Mdada anakusalimia basi jiandae kwa haya yafuatayo

Unasumbuka Nini mwanamke akijichekesha tu Kam humtaki mwombe mto....mbou hapo hapo tena siyo Kwa heshima

Hapo unamfanya asikuombe pesa kbs
 
Na akikusalimia bila kuuliza chukua nambaa
Au nasema uongo ndugu zangu
 
Huyu ni mimi kabisa nikitaka kuuliz njia kama nimepotea yani hiyo sauti alooo too innocent, hilo la kwanza halinihusu
 
Halafu huwa mnapita bila kusalimia, ukipotea ndio unarudi kwa upole....eti samahani kaka...[emoji23]
Ee yan ule upolee sasa wa hiyo samahani kaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila wanaume mna pepo yenu maana tukushaongea kwa upole nyinyi kwisha
 
Ee yan ule upolee sasa wa hiyo samahani kaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila wanaume mna pepo yenu maana tukushaongea kwa upole nyinyi kwisha
Hakika sisi ni watu japo hamnaga shukrani kivile😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…