Changamoto kwa sisi wenye hizi nyota za kung'arisha wengine,
Ni kwa kwamba wao hupata, lakini sisi hasa Mimi naambulia zero tu,
Nikikumbuka niliowachakata mafanikio waliyoyapata,
Kiuchumi, kuolewa na wenye uwezo nk acha tu.
Je Kuna namna ya kufanya Ili nyota ininufaishe mwenyewe?